#COVID19 Mnaopiga na kuunga mkono kuwepo kwa Corona, njia za kujiepusha na chanjo msikieni Dkt. Fauci

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,257
5,984
“You can be wrong if you’re dealing with information that is evolving.” The data about covid-19 and the vaccines seems to change nearly every day; for those of us with potentially confounding conditions, we carefully monitor that changing and updating data" (Anthony S. Fauci, infectious-disease expert)
 
Huyu mtaalamu imani kwake imeondoka, anatuhumiwa kuujua ukweli wa hichi kirusi lakini anacheza na muda pamoja na akili za watu, kilicho baki kila mtu aamue mwenyewe nini afanye kutokana na ugonjwa huu kwa kuwa wataalamu wengi wamekuwa na maoni tofauti juu ya ugonjwa, tiba pamoja na chanjo ya Corona. Tatizo kubwa watu wamesahau magonjwa mengine yanayowasumbua na kufikiria Corona huenda baada ya muda haya magonjwa yakianza kutuangamiza ndiyo tutapokuja kuamka. Nasaha ni kila mtu ajiangalie afya yake, ukijihisi chanjo itakufaa piga na ukihisi chanjo itakupotezea muda basi achana nayo. KIMFAACHO MTU CHAKE.
 
Tunaomba tafsiri sahihi ya Kiswahili ili tuelewane.
...

Kwa kifupi.

Taarifa za huu ugonjwa ni taarifa ambazo zinabadilika mara kwa mara kutokana na tafiti zinazoendelea kufanyika hivyo kupelekea hata hao CDC kutoa maelekezo tofauti tofauti kulingana na taarifa wanazozipata katika muda husika.
 
Back
Top Bottom