Tetesi: Mmakonde na Sarah wameachana

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
17,627
21,470
Kwa habari za chini ya kapeti ni kwamba mmakonde na Sarah wamwagana ila mmakonde anaona aibu kukiri waziwazi kwa kuhofia kuchekwa na watu.

Kwa kifupi mmakonde bila Sarah si lolote wala si chochote ukapuku umemjaa siku zote anavimba mjini kwa kutegemea kuhongwa na Sarah .

Na bado
 
Huyo demu mnapiga kelele ana hela ana hela hela gani acheni zenu nyinyi,Huko Italy katoka familia ya kikimbizi waarabu wa Moroko.
Kazi anayoendaga kufanya huko anajua mwenyewe
 
Back
Top Bottom