Mke wangu analalamika simridhishi, nataka nisimuoe

Pure Scientific

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
718
642
Habari

Kuna jambo limenitatiza sana, nina mke naishi nae ana mtoto mdogo ananyonyesha. Ameweka kitanzi kama njia za uzazi.

Nilisafiri mkoani tukawa tunachart akaniambia nikifanya mapenzi na wewe huwa hauniridhishi. Anasema mara moja moja namridhisha.

Juzi nimerudi nimefanya nae mapenzi vizuri na nimetumia mbinu zote nilijaribu hata kuchelewa kukojoa lakini nikiwa katika mapenzi kumuuliza umeridhika akaniiibu bado.

Jamani kiuhalisia imenipa sana mawazo maana michepuko nairidhisha ila huyu mwenzangu ndo hivyo anasema haridhiki.

Nafanya nae staili zote, natumia muda mrefu kwa mapenzi namuandaa pia.

Imenifanyia hata niwaze kughairi kumuoa naona atanichiti tu mbele.
 
Mke mwenyewe sasa 👇👇
FB_IMG_1714489895644.jpg

#YNWA
 
Habari

Kuna jambo limenitatiza sana, nina mke naishi nae ana mtoto mdogo ananyonyesha. Ameweka kitanzi kama njia za uzazi.

Nilisafiri mkoani tukawa tunachart akaniambia nikifanya mapenzi na wewe huwa hauniridhi anasema mara moja moja namridhisha.

Juzi nimerudi nimefanya nae mapenzi vizuri na nimetumia mbinu zote nilijaribu hata kuchelewa kukojoa lakini nikiwa katika mapenzi kumuuliza umeridhika akaniiibu bado.

Jamani kiuhalisia imenipa sana mawazo maana michepuko nairidhisha ila huyu mwenzangu ndo hivyo anasema Haridhiki.

Nafanya nae staili zote, natumia muda mrefu kwa mapenzi namuandaa pia.

Imenifanyia hata niwaze kughairi kumuoa naona atanicheti tu mbele.
Hawala na mke ni watu wawili tofauti
 
Ongezeni mawasiliano mnapokuwa kwenye tendo, sio kuulizana ulizana; Umeridhika? (Bado).

Ongezeni mawasiliano tangu mkiwa mnaanza.

Ova
 
Back
Top Bottom