bitimkongwe
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 7,557
- 7,103
Na wanaume je? Naona lawama upande mmoja tu.Kuna sababu nyingi za tofauti za kumfanya mke achepuke.
Kuna idadi kubwa ya wanawake walioachwa baada ya waume zao kugundua uchepukaji wa wake zao na wala haijawa suluhisho kwa wengine kutulia.
Kuna haja kuangalia namna nyingine ya kutatua hii hali. Labda kwa kuwa sisi Binadamu ni jamii ya wanyama basi tuliumbwa tuishi kwa staili kama wanyama wengine wanavyoishi.
Miaka ijayo pengine hakutakuwa huu utaratibu wa kuchumbia mke mmoja, maana kwa sasa mfumo huu umeonyesha umefeli kwa kuwa Mke na Mume wote wanakuwa wachepukaji.