Mke kaninunia hii ni siku ya tatu kisa nimemsema kwa wazazi wake kwamba kapasua simu yake kubwa kwa hasira

Covax

JF-Expert Member
Feb 15, 2021
6,425
21,932
Nililazimika kuwajulisha wazazi wake kwamba binti yenu ana hasira za mlipuko ili wajue mtu wa aina gani naishi nae hi ilikuwa simu ya pili anapasua kwasababu za kijinga eti kwanini sipokei simu zake na kujibu sms zake kwa wakati.

Nimekataa kumnunulia simu kubwa tena, ameninunia mpaka basi ila haina shida nitavumulia ila iwe sehemu ya tiba yake, na afadhali wazazi wake wamejua hilo ata hofu kurudia kosa kama hilo tena.
 
Nili lazimika kuwajulisha wazazi wake kwamba bint yenu ana hasira za mlipuko ili wajue mtu wa aina gani naishi nae hi ilikua simu ya pili anapasua kwasbb za kijinga eti kwanini sipokee simu zake na kujibu sms zake kwa wakati.

Nimekataa ku mnunulia simu kubwa tena, ameninunia mpaka basi ila haina shida ntavumulia ila iwe sehemu ya tiba yake, na afadhari wazazi wake wamejua hilo ata hofu kurudia kosa kama hilo tena.
Kiongozi una umri gani? Siku tatu tu umetaharuki? Watu wanakata mwaka wanaishi kama mabubu sembuse siku tatu?
 
Sasa umekuja kuyaleta humu ili iweje? Kila siku unatamba upo dini ya haki si uoe mwingine kwani lazima kubembeleza mtu asiyembembelezeka.

Pambana na chaguo lako

Anyway nilikua najaza characters za comments tu ili ipostike
Mmh mkuu mbona umekua mkali dini inaingia je hapa, humu kuna watu wenye mbinu nyingi za kudeal na scenarios kama hizi, mimi sio wa kwanza kufanyiwa hivo.
 
Nili lazimika kuwajulisha wazazi wake kwamba bint yenu ana hasira za mlipuko ili wajue mtu wa aina gani naishi nae hi ilikua simu ya pili anapasua kwasbb za kijinga eti kwanini sipokee simu zake na kujibu sms zake kwa wakati.

Nimekataa ku mnunulia simu kubwa tena, ameninunia mpaka basi ila haina shida ntavumulia ila iwe sehemu ya tiba yake, na afadhari wazazi wake wamejua hilo ata hofu kurudia kosa kama hilo tena.
ulitakiwa usimame kidete pale alipopasua ya kwanza. Ulitakiwa kumkomesha na umwambie ukipasua tena utarudi nyumbani ukatafute pesa za kunilipa hiyo simu, uone kama angefanya tena.

Lakini amezoe tu akipasua wewe unanunua sasa shida ipo wapi? Hapo mama yako angesema kwamba mkeo anapoteza fedha zako bure angemjia juu kwa hasira.

Hizo nyingine si hasira ni ujinga tu au ushamba.
 
Kiongozi una umri gani? Siku tatu tu umetaharuki? Watu wanakata mwaka wanaishi kama mabubu sembuse siku tatu?
Mkuu mimi sijui hatma yake huyu mama ana hasira za mripuko anaweza akafanya lolote, hata wahi kukasirika siku nyingi hivo.....
 
Back
Top Bottom