RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 52,281
- 109,720
Sasa si kaja kulialia hapa kila akifanyacho wife ana revenge....Yaani iwe sare sare maua?
Sasa si kaja kulialia hapa kila akifanyacho wife ana revenge....Yaani iwe sare sare maua?
na ndugu yangu mmoja anampiga dongo mumewe wenzio wakati wanawekeza kwenye magorofa ulikuwa unawekeza kwenye uke ila analitaja lile jina kali kama lilivyo basi mzee wa watu anainamisha kichwa chini anajiondokeaSamahani hivi na hii familia ni kati ya wale 4:1? Wewe mvulana kwa nini usitulie? Yote hayo unayoyafanya ni kwa ajili ya nini? Mpaka hapo kwenye stori yako nimeshajua una michepuko miwili bado ile ambayo hujaitaja. Du! Kweli wakati wengine wanawekeza kwenye maendeleo wengine wanawekeza kwenye vikojoleo
Na limeyumbishwa na mmiliki mwenyeweDish limeyumba si bure!
Wadau, Mu hali gani?
Kumekuwapo na sintofahamu kati yangu na my wife wangu.
najaribu kutaka kumuelewa lakini nabaki njiapanda kama ilivyo kawaida yao ni ngumu sana kumuelewa mwanamke na itabaki hivyo hadi baragumu lipulizwe!
Ni muda sasa kila jambo nikifanya hata dogo kiasi gani analipiza yaani jinsi anavyonifanyia kama vile mimi mke mwenzake!nikiweka profile whatssup ya picha yangu nimeweka pozi na yeye anaweka kaweka pozi tena pozi matata!
Kuna siku kanikuta na kidemu nakisaundisha hapo kitaa cha ajabu akauchuna nikajua hiyo imepita hivi khaaa haijapita muda kaniona narudi eti na yeye akamsimamisha mpita njia eti anaongea nae huku kamshika mkono!nikapita kama sijaona na nikapotezea!
Yote tisa kumi kilichonifanya hadi kuja kuandika huu uzi hapa ni hili baada ya kurudi kutoka safari majirani wakamtonya kwamba toka asafiri kwa muda wa wiki mbili zote mimi sijalala nyumbani!
Ni kweli nilihamia kwa mchepuko katika hicho kipindi cha mpito!lakini nikamkatalia kwamba siku zote mimi nililala homu nikamuonyesha na mafuta ya mgando yalikuwa mapya ila yamebaki nusu kwa kupigia puchu maana akisafiri anajua mimi nakuwa napiga puli!
Ila bado hanielewi na ameondoka tena homu simu yake haipatikani kwa ndugu wote nimezunguka hayupo hadi nimechoka kumtafuta polisi wameniambia nisubiri siku 4 badala ya saa 24 yaani hapa nimedata mchepuko unataka nikatulie tu kwake ila sijiskii kabisa naombeni ushauri jamani maana kama kisasi iko siku tutauana sasa!
hahahahahaha umetishaaChai zako hazina ushirikiano