Kaka zangu mkiwa mnalelewa kuweni wapole. Ukileta ujuaji yatakukuta kama ya huyu kaka kwenye video. Unalelewa halafu bado unacheat?
View attachment 2969868uwo ni udharishaji ila mkidharilishwa nyiny ni ugomvi afu mleta uzi kama umefrahia hicho kitendo alichofanyiwa jamaa
Wengi hawajui hili wanaona raha kulelewaAta usipo cheat ila kama utabadili majumu ya mwanaume akafanya mwanamke na ya mwanamke akafanya mwanaume jua kuna possibility kubwa ya mwanaume kuja kupata aibu
Sio mimiHuyp dada ni wewe?.
kafrahia hicho kitendo inaonekana ni wale wanawake wenyemajivuno na dharauSi useme tu nguo vinguo ndo nini sasa
Hii ilikuwa ni must, mwanaume umelegeza korodani unategemea kupewa mpaka hela ya wembe ushave kwendraaahKaka zangu mkiwa mnalelewa kuweni wapole. Ukileta ujuaji yatakukuta kama ya huyu kaka kwenye video. Unalelewa halafu bado unacheat?
View attachment 2969868
View attachment 2969871
Yani unakuwa marioo halafu bado unachepuka seriously?Sawa umemtupia nje nguo zake lakini kumrekodi kabisa that was something else nadhani hata huyo mwanaume hamstahili huyo mwanamke. Lakini nakuhakikishia kesho wanarudiana hao tena mwanamke ndio ataomba msamaha. Mapenzi yaacheni yaitwe mapenzi.
Vinguo kwasababu ni vichache 😂Si useme tu nguo vinguo ndo nini sasa
Hapo nilipobold mkuu umekusudia au?Hii ilikuwa ni must, mwanaume umelegeza korodani unategemea kupewa mpaka hela ya wembe ushave kwendraaah
KabisaAta usipo cheat ila kama utabadili majumu ya mwanaume akafanya mwanamke na ya mwanamke akafanya mwanaume jua kuna possibility kubwa ya mwanaume kuja kupata aibu
Sasa ndio utumie GIF ya semaji sijapendaHapo nilipobold mkuu umekusudia au?
Wenyewe wanasemaga kulelewa rahaKama mwanaume kitendo cha kumtegemea mwanamke ni fedheha kubwa mno, binafsi siwezi ruhusu hicho kitu ili hali nina nguvu za kutosha kujipambania.