MJADALA: Je, Pikipiki gani ni bora kwa matumizi ya nyumbani au biashara kwa Tanzania?

Nataka nijichange ninunue sinoray 250 cc kwa ajili ya matumizi binafsi shida isionekane kama bodaboda msaada anaejua ulaji wake wa mafuta na uzuri wa pikipiki yenyewe
 
Attachments

  • Screenshot_20240209-124933_Facebook.jpg
    Screenshot_20240209-124933_Facebook.jpg
    163.2 KB · Views: 25
Mafuta kwenye pikipik hutakiwi kuhofia hata kidogo hiyo cc 250 ya Mchina isikutishe, uzuri wake lipo juu juu comfortable miguu haijikunji sana. Pipiki ndefu changamoto ni kwenye resale ikichoka hata kdogo, ukitaka kuiuza utauza Kwa Bei ya kutupa sana coz hayana wateja wengi, hayauziki. Nunua tu
Nataka nijichange ninunue sinoray 250 cc kwa ajili ya matumizi binafsi shida isionekane kama bodaboda msaada anaejua ulaji wake wa mafuta na uzuri wa pikipiki yenyewe
 
Wakuu nataka niende dukani kuchukua pikipiki
Kati ya kinglion au sinoray ipi ni pikipiki nzuri kwa kubebea mizigo ya dukani tena barabara mbovu za porini pia kufika mashambani
 
Back
Top Bottom