MJADALA: Je, Pikipiki gani ni bora kwa matumizi ya nyumbani au biashara kwa Tanzania?

haojue mninga ni hatar
 

Attachments

  • IMG-20221109-WA0034.jpg
    IMG-20221109-WA0034.jpg
    123.4 KB · Views: 108
Wazee natamani piki piki ya shamba off road iwe inaimili mizigo kama mbolea ,mbegu lakin isiwe mchina wala muhind. kabisa wala isizidi M3.5 nasisitiza siyo ya bata,isiwe mchina wala muhindi ,isiwe gali
 
Mkuu Umetaja Piki piki Nyingi tuu kama Boxer,Fekon,Sanlg,TVS,nk

Ila Mwisho wa yote Kuna Pikipiki moja inaitwa HOAUJUE...au Kiswahili wanasena "Haujue" Hii Pikipiki ni noma Asikwambie Mtuu,Uliza waendesha Pikipiki watakuambia.

Ni Imara,inapiga Mzigo na Nzito. Ikitulia Barabarani Hakuna na Boxer, TVS,au wala sijui nini atafuata hii. Niliwahi Siku moja Kupakia Mzigo wangu,gunia 2 za Nazi kwenye "Hoaujue" nami nikapanda Boxer, Tumeanza tuu Boxer akatupita akaenda mbali.

Baada ya kama Dk 7 hivi,lilitupita kama tunesimama, nikamwambia Dereva wa Boxer Aisee vipi ongeza mwendo Mkuu,akaniambia hiyo ni "Hoaujoue" taamka "Haujue" ni balaa siwezi fuata pale linapokuwa limechanganya!

Na ni BORA usipime! Yaani Imara!

Inavumilia kila hali!
Hii pikipiki ni bei gani?
 
Back
Top Bottom