Miundombinu iliyoharibiwa na mafuriko. Jeshi linaweza kusaidia? Lina wataalam

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
22,729
29,979
Lengo la uzi wangu siyo kumfundisha kazi Mhe. Rais. Bali kumshauri kwa uzingativu wa mamlaka aliyonayo kikatiba.

Tunamuona Waziri wa Ujenzi Mhe. Bashungwa akipiga kambi kusini kusimamia urejeshwaji wa mawasiliano ya barabara na madaraja yaliyobomolewa na maji ya mvua zinazoendelea kunyesha.

NInamuomba Amiri Jeshi Mkuu atumie mamlaka aliyonayo kuliagiza JWTZ kushiriki kwenye hii dharura inayoendelea kutaabisa maeneo mengi nchini

Jeshi halina wataalam ila hawataki kukiboresha ili liwe na wataalam kutokana na sera ya serikali...hii ndo ilikuwa muda muafaka kuonesha maana ya jeshi.
 
Mpaka kufikia wewe kuwaza jambo hilo, unadhani jambo hilo bado halijamfikia? Ana team ya washauri kila kona unahisi hawajamshauri jambo kama hilo? Tukiona halifanyi basi tuamini labda kuna kikwazo mahala fulani.
 
Lengo la uzi wangu siyo kumfundisha kazi Mhe. Rais. Bali kumshauri kwa uzingativu wa mamlaka aliyonayo kikatiba.

Tunamuona Waziri wa Ujenzi Mhe. Bashungwa akipiga kambi kusini kusimamia urejeshwaji wa mawasiliano ya barabara na madaraja yaliyobomolewa na maji ya mvua zinazoendelea kunyesha.

NInamuomba Amiri Jeshi Mkuu atumie mamlaka aliyonayo kuliagiza JWTZ kushiriki kwenye hii dharura inayoendelea kutaabisa maeneo mengi nchini

Msanii
Mkuu jeshi si wakandarasi.
Jesh laweza kutumika kuokoa tena kwa dharura tu.
Bajeti ya kazi za ujenzi hawana.
 
Lengo la uzi wangu siyo kumfundisha kazi Mhe. Rais. Bali kumshauri kwa uzingativu wa mamlaka aliyonayo kikatiba.

Tunamuona Waziri wa Ujenzi Mhe. Bashungwa akipiga kambi kusini kusimamia urejeshwaji wa mawasiliano ya barabara na madaraja yaliyobomolewa na maji ya mvua zinazoendelea kunyesha.

NInamuomba Amiri Jeshi Mkuu atumie mamlaka aliyonayo kuliagiza JWTZ kushiriki kwenye hii dharura inayoendelea kutaabisa maeneo mengi nchini

Msanii
ni mapema mno. bado hakuna ulazima wa kufika huko,

yanayojiri maeneo mbalimbali nchini bado yapo chini ya uwezo wa taasisi za kisekta.

hata hivyo taasisi nyingine za ulinzi na usalama siku zote ziko tayari kufanya kazi za wanainchi kwa maelekezo ya Amer Jesh Mkuu ikionekana inafaaa🐒

kamati ya maafa kitaifa iko rada na chonjo sana maeneo yote nchini na kukusanya taarifa mahususi ili hatimae pale kwenye ulazima na uhitaji wa msaada wa haraka, basi taasisi husika ziarifiwe kupitia AmeriJeshiMkuu🐒
 
Back
Top Bottom