Mitandao mingine ya kihuni Tanzania

Vito Corleone

JF-Expert Member
Apr 4, 2023
2,290
4,922
Voda huu mtandao nlikuwa nauheshimu ila Leo nimeona upuuzi unaonifanya nisiwaamini tena Hawa wapuuzi,wiki iliyopita Kuna tangazo Lili pop up kwenye cm na wakati naingia Ili nilicheki Nashangaa nakuta meseji ya sijui ChEkecha mkwanja kwamba hongera umefanikiwa kujiunga na utakatwa 300/= Kwa cku nkasema wtf nkawapandia hewani nkakutana na kastoma kea akasema itakuwa nlijiunga nkiwa nimelewa au nlimpa mtu cm,yaani nlikasirika kidogo npasuke ndio akanitoa.

Leo tena hivyo hivyo nachati naskia hongera umejiunga na huduma yetu pendwa ChEkecha mkwanja utakatwa mia 300 Kwa siku nkajiuliza moyoni Hawa voda matako kweli Yani huduma siijui wanasema ni pendwa na nitakatwa mia 300 tu Kwa cku nkaona usintanie nkapanda hewani kwa namba 100 nkasema ntakaye kutana nae Sina simile .
Dakika 5 napiga cm haipokelewi na katika kipengele Chao kimoja na kinukuu"kama umekatwa pesa na hujui zimekatajwe bonyeza 1"Nikaona huu mtandao ni wakihuni huni na Tanzania wanaona hawana mtu wa kuwafanya lolote.

Nikaapa sitakaa niongeze Salio Ili nione hayo maokoto watayakata wapi hapo ndipo nilipochoka ilipokuja pop up msg

"Tunaona huna Salio la kutosha sehemu ya kawaida je ungependa tuwe tunapunguza Hela iliyopungua kutoka account yako ya Mpesa?
Bonyeza 1:kukubali
Au 2:kukubali

Utadhani natia chumvi ila ndio tulimofikia humu.

Tunapigwa na watuma Kwa namba hii,tunapigwa na hao hao watoa huduma,hivi mtetezi wetu ni nani kmmk
 
Hili tatizo kubwa, sijawahi kujiunga na huduma hiyo ila nimetjmiwa message wiki iliopita.

Hawapo serious. Wapigwe class action lawsuit ya maana. Wakipata faini ya kama Bilioni 200 hv akili zitawarudi kutotapeli wateja wao
 
Upo sahihi mkuu,waTz tuwe serious Hawa Jamaa washatuona hayawani.
 
Voda huu mtandao nlikuwa nauheshimu ila Leo nimeona upuuzi unaonifanya nisiwaamini tena Hawa wapuuzi,wiki iliyopita Kuna tangazo Lili pop up kwenye cm na wakati naingia Ili nilicheki Nashangaa nakuta meseji ya sijui ChEkecha mkwanja kwamba hongera umefanikiwa kujiunga na utakatwa 300/= Kwa cku nkasema wtf nkawapandia hewani nkakutana na kastoma kea akasema itakuwa nlijiunga nkiwa nimelewa au nlimpa mtu cm,yaani nlikasirika kidogo npasuke ndio akanitoa.
Leo tena hivyo hivyo nachati naskia hongera umejiunga na huduma yetu pendwa ChEkecha mkwanja utakatwa mia 300 Kwa siku nkajiuliza moyoni Hawa voda matako kweli Yani huduma siijui wanasema ni pendwa na nitakatwa mia 300 tu Kwa cku nkaona usintanie nkapanda hewani kwa namba 100 nkasema ntakaye kutana nae Sina simile .
Dakika 5 napiga cm haipokelewi na katika kipengele Chao kimoja na kinukuu"kama umekatwa pesa na hujui zimekatajwe bonyeza 1"Nikaona huu mtandao ni wakihuni huni na Tanzania wanaona hawana mtu wa kuwafanya lolote.

Nikaapa sitakaa niongeze Salio Ili nione hayo maokoto watayakata wapi hapo ndipo nilipochoka ilipokuja pop up msg

"Tunaona huna Salio la kutosha sehemu ya kawaida je ungependa tuwe tunapunguza Hela iliyopungua kutoka account yako ya Mpesa?
Bonyeza 1:kukubali
Au 2:kukubali

Utadhani natia chumvi ila ndio tulimofikia humu.

Tunapigwa na watuma Kwa namba hii,tunapigwa na hao hao watoa huduma,hivi mtetezi wetu ni nani kmmk
chumi zimekua ni changamoto kidogo aise sio tu mifukoni mwa watu bali pia miongoni mwa makampuni, wanalazimisha visivyo vipaumbele kwa watu 🐒
 
Wabongo tunalia akuna ajira kumbe mitaji na ajira ndo km izi

Sku moja vijana tuweke ushirikiano tuchange pesa tutafte wanasheria wazuri tutafte visibitisho vizr hawa watu tuwafungulie kesi hatuwizi
Kosa ata 20 bill na makampuni meng hayapend kesi yataomba mfanye majadiliano nje ya mahakama
 
vodacom ni washenzi sana ubaya nikipga customer care hawapokei nngewatolea shit leo na hv hela sina
E94743AB-EA24-4E7F-846E-805CA4BC2089.png
 
Kuna kijiwe fulani nilisikia majungu yanatokota kwamba hawa jamaa wa tuma kwenye namba hii wanatoka Voda, eti kwasababu
Mara nyingi ikitokea una miadi ya kumtumia ela mtu hizo msg zao ndio zinaingia( kwamba wamehack system)
Halafu namba nyingi wanazotoa ziingiziwe pesa ni za Voda.
Hamia mitandao mingine ka vipi
 
Back
Top Bottom