BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,124
- 10,819
Video zinamaliza mbKipande cha video ni ngumu kukipata mtoa mada.. Kama kipo nje ya uwezo wako basi
Dereck Nyati na demu wake Phillipe 😊Nyati
Hahaha na rasta zake, majina ya kingoni yale ni ndugu zaoDereck Nyati na demu wake Phillipe 😊
Niliona wivu kusikia kamuoa Philipe kipindi hicho 😄 sasa sijui nilitegemea nimchukue mie 😆Hahaha na rasta zake, majina ya kingoni yale ni ndugu zao
Na baada ya ndoa hakuonekana tenaNiliona wivu kusikia kamuoa Philipe kipindi hicho 😄 sasa sijui nilitegemea nimchukue mie 😆
YapNa baada ya ndoa hakuonekana tena
Vipi phindi na sechaba je?Niliona wivu kusikia kamuoa Philipe kipindi hicho 😄 sasa sijui nilitegemea nimchukue mie 😆
Kipindi cha hawa tayari nilishaanza kutengeneza movie zangu mwenyewe 😄Vipi phindi na sechaba je?
Nina zamdela ni type ya wanawake ninaowapendaLincoln Sibeko
Nina Zamdela
Kwangu, mwamba Barker Hayes, Frank, na Sibeko,Nikiwe Sibeko alivyokuwa anacheka huku anashangaa mi nilikuwa napenda balaa
Same thing. Halafu ana muonekano na haiba ya wife material sijui kwann namuona kama mke yaani.Nikiwe Sibeko alivyokuwa anacheka huku anashangaa mi nilikuwa napenda balaa