Mimi ni Mkristo mlokole, nimeanza kukosa Imani na ukristo nahisi Uislam ndiyo dini ya kweli

Nenda mwaya kapambane, ukawe proud to be ......
Neema ya ukristo imeshakuondoka hunayo tena
 
ajabu yake, hakuna mtu aliyehamia kwenye uislam asijute, huwa wanakuja kujuta tu, its just a matter of time.
Hebu tutajie mmoja kamanda, dunia imejaa full of people who converted from Christianity to Islam na wengi walikuwa ni viongozi wa taasisi kadhaa kabla ya kuwa waislamu. Nitajie shekhe mmoja tu anayejulikana ambaye alibadili dini na kuwa mkristo.

In a very simple way ipo hivi: -
  • Katika ukristo, as much as you learn and want to understand the religion is when you get deeper in confusion with more questions.
  • Katika Uislamu, as much as you learn the religion and try to understand the word of God is when you get more and more answers from what you previously never understood clearly.

Ili kuwa muunini bora wa Kikrsito you just need to listen to what your pastor tells you and reply amen, kadri maelezo yasivyoeleweka kiakili ya kawaida ndo uumini unakuwa juu zaidi. On the other hand katika Uislamu, ili kuwa muumini bora unatakiwa kujua zaidi na zaidi neno la Mungu na mafundisho ya Mtume wake (Quran na Sunnah). The more you learn, the more imani ya mtu inakuwa. Na hii utaiona katika miji ambayo elimu ya dini ipo juu zaidi katika jamii basi inaakisiwa na uchamungu/uumini wa kiujumla wa katika hiyo jamii. Jamii ya kiislamu yenye elimu kubwa ya dini huwa ni waumini zaidi kuliko jamii ya kiislamu yenye elimu ndogo ya dini Mfano Tanga na mkuranga.

Kiujumla sasa, chukulia mfano wa Pemba na Mbeya, ni sehemu mbili zenye uislamu ama ukristo as majority religion from each. Sasa nenda kamuulize muumini wa kawaida kabisa some basic understanding za dini zao na utagundua kutoka Mbeya walio wengi ni waumini pasi na kujua basics za kile wanachokiamini while kule Pemba utagundua majority ya waumini ni wenye kuelewa misingi ya imani yao na dini yao i.e. imani that is supported by knowledge ya unachokiamini. Opposite is the other way round.

Kumradhi kama nimemkwaza mkristo yoyote, lengo langu ni kuelezea tofauti iliyopo nikiwa natofautiana na mwenye hiyo comment hapo juu kwa kuwa naamini inapotosha ukweli
 
Napenda sana ibada, naamini kupitia ibada mambo mengi yanaweza kuwa sawa! Napata shida kidogo na Imani yangu ya ukristo, miaka ya 1980 -1990 ibada ilikuwa nzuri sana kokote utakakoenda kusali na kanisa lolote utakaloingia Ibada zilikuwa na nguvu halisi ya Mungu.

Hapakuwa na makorombwezo Wala mbwembwe kama Sasa! Huwa navurugwa sana nikiingia kanisani mambo mengi yamebadilika! Kanisa la Sasa imekuwa sehemu ya disco,dance na mitindo ya hovyo ya mavazi, wanawake wanavaa nguo ambazo hata kwenye baadhi ya bar hawavai na wachungaji wako busy na mapato na matumizi. Mahubiri asilimia tisini ni fedha na mipasho! Nimechoka na miujiza ya zana kama uganga, kanisa la Leo mchungaji anaamini lazima abebe zana ndio apande madhabahuni ,ukristo unabadilika Kila mwaka ,sura ya kanisa sio Ile ya 1990 ,2000.

Kila mwaka kanisa linavaa sura nyingine, wachungaji wetu wanavita kubwa ya kugombea waumini kiasi hawana ushirikiano Tena ! Ni maadui na hawana maombi ya pamoja Tena kama zamani. Kila mchungaji yaonekana kama ana mbingu ya kwake. Kuna kundi wanajiita mitume na manabii na Kuna kundi la maaskofu na wachungaji ,maaskofu na wachungaji wanahisi wao nao wanambingu Yao ambayo mitume na manabii hawataenda ! Na mitume na manabii pia wanaona wachungaji na maaskofu hawana nguvu ya mungu Tena!

Hizi ni dalili mbaya sana kwa miaka 20 ijayo ya ukristo, mpaka Sasa asilimia 70 waislam wako sawa na unaweza kuwaelewa! Lakini wakristo wamefeli kabisa , naikubali sana ibada ya hija na Ile ya kuchinja waislamu wanaungana Duniani kote kwa ajili ya Allah!

Lugha Yao inakuwa Moja na kauli Yao ni thabiti kabisa ,wanavaa vizuri sana wanapokuwa kwenye ibada na hata ,huwezi kuyaona mapaja ya mwanamke msikitini yakiwa nje sijui kama nitaweza kuuvumilia ukristo kwa miaka michache ijayo mungu aturehemu !
Hakuna Dini ya kweli mkuu!!

Kuna nguvu ya kweli ya Asili iitwayo Mungu na ilikuwepo kabla Dini hazijaja Kwa mababu zetu!!

Muite huyo saidia wenye shida huku ukimuita huyo Kwa lugha yako kuhusu chochote kile atafanya Kwa kadri mapenzi yake yalivyo!!

Dini ni mpango kazi wa nguvu hasi iitwayo shetani kuwagawa watu wasiwe wamoja,wahitilafiane ,wauane,waitane majina mabaya n.k

Wewe jikite kwenye hiyo nguvu TU na hiyo ndio Dini ya kweli!!
 
Napenda sana ibada, naamini kupitia ibada mambo mengi yanaweza kuwa sawa! Napata shida kidogo na Imani yangu ya ukristo, miaka ya 1980 -1990 ibada ilikuwa nzuri sana kokote utakakoenda kusali na kanisa lolote utakaloingia Ibada zilikuwa na nguvu halisi ya Mungu.

Hapakuwa na makorombwezo Wala mbwembwe kama Sasa! Huwa navurugwa sana nikiingia kanisani mambo mengi yamebadilika! Kanisa la Sasa imekuwa sehemu ya disco,dance na mitindo ya hovyo ya mavazi, wanawake wanavaa nguo ambazo hata kwenye baadhi ya bar hawavai na wachungaji wako busy na mapato na matumizi. Mahubiri asilimia tisini ni fedha na mipasho! Nimechoka na miujiza ya zana kama uganga, kanisa la Leo mchungaji anaamini lazima abebe zana ndio apande madhabahuni ,ukristo unabadilika Kila mwaka ,sura ya kanisa sio Ile ya 1990 ,2000.

Kila mwaka kanisa linavaa sura nyingine, wachungaji wetu wanavita kubwa ya kugombea waumini kiasi hawana ushirikiano Tena ! Ni maadui na hawana maombi ya pamoja Tena kama zamani. Kila mchungaji yaonekana kama ana mbingu ya kwake. Kuna kundi wanajiita mitume na manabii na Kuna kundi la maaskofu na wachungaji ,maaskofu na wachungaji wanahisi wao nao wanambingu Yao ambayo mitume na manabii hawataenda ! Na mitume na manabii pia wanaona wachungaji na maaskofu hawana nguvu ya mungu Tena!

Hizi ni dalili mbaya sana kwa miaka 20 ijayo ya ukristo, mpaka Sasa asilimia 70 waislam wako sawa na unaweza kuwaelewa! Lakini wakristo wamefeli kabisa , naikubali sana ibada ya hija na Ile ya kuchinja waislamu wanaungana Duniani kote kwa ajili ya Allah!

Lugha Yao inakuwa Moja na kauli Yao ni thabiti kabisa ,wanavaa vizuri sana wanapokuwa kwenye ibada na hata ,huwezi kuyaona mapaja ya mwanamke msikitini yakiwa nje sijui kama nitaweza kuuvumilia ukristo kwa miaka michache ijayo mungu aturehemu !
Wewe ni low IQ kama hao hao. Angalia ujinga wa waislam wenzio huko Pakistan

View: https://x.com/islamwatch_/status/1783363205500453330
 
Hamna dini y ukweli wala ya uongo.

Ukishindwa kujua hadhina uliyonayo wewe Kama wewe utahama makanisa ,utahama dini na mwisho utakufa bila kuitumia hadhina yako.
 
Hebu tutajie mmoja kamanda, dunia imejaa full of people who converted from Christianity to Islam na wengi walikuwa ni viongozi wa taasisi kadhaa kabla ya kuwa waislamu. Nitajie shekhe mmoja tu anayejulikana ambaye alibadili dini na kuwa mkristo.

In a very simple way ipo hivi: -
  • Katika ukristo, as much as you learn and want to understand the religion is when you get deeper in confusion with more questions.
  • Katika Uislamu, as much as you learn the religion and try to understand the word of God is when you get more and more answers from what you previously never understood clearly.

Ili kuwa muunini bora wa Kikrsito you just need to listen to what your pastor tells you and reply amen, kadri maelezo yasivyoeleweka kiakili ya kawaida ndo uumini unakuwa juu zaidi. On the other hand katika Uislamu, ili kuwa muumini bora unatakiwa kujua zaidi na zaidi neno la Mungu na mafundisho ya Mtume wake (Quran na Sunnah). The more you learn, the more imani ya mtu inakuwa. Na hii utaiona katika miji ambayo elimu ya dini ipo juu zaidi katika jamii basi inaakisiwa na uchamungu/uumini wa kiujumla wa katika hiyo jamii. Jamii ya kiislamu yenye elimu kubwa ya dini huwa ni waumini zaidi kuliko jamii ya kiislamu yenye elimu ndogo ya dini Mfano Tanga na mkuranga.

Kiujumla sasa, chukulia mfano wa Pemba na Mbeya, ni sehemu mbili zenye uislamu ama ukristo as majority religion from each. Sasa nenda kamuulize muumini wa kawaida kabisa some basic understanding za dini zao na utagundua kutoka Mbeya walio wengi ni waumini pasi na kujua basics za kile wanachokiamini while kule Pemba utagundua majority ya waumini ni wenye kuelewa misingi ya imani yao na dini yao i.e. imani that is supported by knowledge ya unachokiamini. Opposite is the other way round.

Kumradhi kama nimemkwaza mkristo yoyote, lengo langu ni kuelezea tofauti iliyopo nikiwa natofautiana na mwenye hiyo comment hapo juu kwa kuwa naamini inapotosha ukweli
Utafiti binafsi!

Nguvu itokanayo na kristo haichunguziki na ni ngumu kuitolea logic ya kimtazamo coz Haina formula maalum ya kumfundishia mtu!

Uislam ni rahisi kuutolea maelezo coz unafundishwa vema na kushika sheria!!

Ukristo muhusika haongozwi na mafundisho Bali nguvu halisi iliyomvaa iitwayo roho!!

Kifupi hakuna Dini yenye lengo kuu moja la kumsaidia mja kwenda Kwa huyo Mungu,Bali kutawaliwa kivitendo na kimtazamo TU!!

Mungu Hana upande yeye ni yeye na sisi ndio tumeamua tuwe upande Gani kutokana na logic ya hitimisho la kufikiria linapokoma!
 
Kimsingi dini ya kiislam ni dini inayoamini sana katika matendo ili upate wokovu,ndio mana wanapambania sana maisha ya utu wa nje sio utu wa ndani,ndio maana wengi wao wamejaa husuda,wivu,chuki na ubaguzi baina yao na hata kwa wasio waislamu wenzao.
Imani yoyote ile lazima hufuatiwa na vitendo. Kile unachokiamini kina sheria na taratibu zake, na hayo ndio wewe unaita matendo, usipofuata sheria hizo na kutekeleza taratibu hizo wewe sio muumini. Utu wa nje na utu wa ndani ndio nini, haya ni maneno ya kujipumbaza na kujidanhanya tu.
 
Nyie mnaowafata wachungaji...ma aposto na mitume mna tabu sana aisee...endeleeni kuhangaika...mlijiengua kutoka kanisa Katoliki mkadhani mtapata unafuu ila kila siku malalamiko..endeleeni kuwajaza vitambi ma Aposto na sadaka mkisubiria muujiza..
 
Well said
 
Napenda sana ibada, naamini kupitia ibada mambo mengi yanaweza kuwa sawa! Napata shida kidogo na Imani yangu ya ukristo, miaka ya 1980 -1990 ibada ilikuwa nzuri sana kokote utakakoenda kusali na kanisa lolote utakaloingia Ibada zilikuwa na nguvu halisi ya Mungu.

Hapakuwa na makorombwezo Wala mbwembwe kama Sasa! Huwa navurugwa sana nikiingia kanisani mambo mengi yamebadilika! Kanisa la Sasa imekuwa sehemu ya disco,dance na mitindo ya hovyo ya mavazi, wanawake wanavaa nguo ambazo hata kwenye baadhi ya bar hawavai na wachungaji wako busy na mapato na matumizi. Mahubiri asilimia tisini ni fedha na mipasho! Nimechoka na miujiza ya zana kama uganga, kanisa la Leo mchungaji anaamini lazima abebe zana ndio apande madhabahuni ,ukristo unabadilika Kila mwaka ,sura ya kanisa sio Ile ya 1990 ,2000.

Kila mwaka kanisa linavaa sura nyingine, wachungaji wetu wanavita kubwa ya kugombea waumini kiasi hawana ushirikiano Tena ! Ni maadui na hawana maombi ya pamoja Tena kama zamani. Kila mchungaji yaonekana kama ana mbingu ya kwake. Kuna kundi wanajiita mitume na manabii na Kuna kundi la maaskofu na wachungaji ,maaskofu na wachungaji wanahisi wao nao wanambingu Yao ambayo mitume na manabii hawataenda ! Na mitume na manabii pia wanaona wachungaji na maaskofu hawana nguvu ya mungu Tena!

Hizi ni dalili mbaya sana kwa miaka 20 ijayo ya ukristo, mpaka Sasa asilimia 70 waislam wako sawa na unaweza kuwaelewa! Lakini wakristo wamefeli kabisa , naikubali sana ibada ya hija na Ile ya kuchinja waislamu wanaungana Duniani kote kwa ajili ya Allah!

Lugha Yao inakuwa Moja na kauli Yao ni thabiti kabisa ,wanavaa vizuri sana wanapokuwa kwenye ibada na hata ,huwezi kuyaona mapaja ya mwanamke msikitini yakiwa nje sijui kama nitaweza kuuvumilia ukristo kwa miaka michache ijayo mungu aturehemu !
Ukristu ni uzungu na uislamu ni uarabu, kama wewe ni mwafrika na una akili timamu tena mwenye busara, fuata imani yako ya asili. Mungu wa kweli anapatikana hapo. Chanzo chako ni wazazi wako,na wazazi wako ni mababu. Waombe hao ndio watakufikisha kwa Muumba. Hizi dini zimeundwa tu na wajanja.
 
Napenda sana ibada, naamini kupitia ibada mambo mengi yanaweza kuwa sawa! Napata shida kidogo na Imani yangu ya ukristo, miaka ya 1980 -1990 ibada ilikuwa nzuri sana kokote utakakoenda kusali na kanisa lolote utakaloingia Ibada zilikuwa na nguvu halisi ya Mungu.

Hapakuwa na makorombwezo Wala mbwembwe kama Sasa! Huwa navurugwa sana nikiingia kanisani mambo mengi yamebadilika! Kanisa la Sasa imekuwa sehemu ya disco,dance na mitindo ya hovyo ya mavazi, wanawake wanavaa nguo ambazo hata kwenye baadhi ya bar hawavai na wachungaji wako busy na mapato na matumizi. Mahubiri asilimia tisini ni fedha na mipasho! Nimechoka na miujiza ya zana kama uganga, kanisa la Leo mchungaji anaamini lazima abebe zana ndio apande madhabahuni ,ukristo unabadilika Kila mwaka ,sura ya kanisa sio Ile ya 1990 ,2000.

Kila mwaka kanisa linavaa sura nyingine, wachungaji wetu wanavita kubwa ya kugombea waumini kiasi hawana ushirikiano Tena ! Ni maadui na hawana maombi ya pamoja Tena kama zamani. Kila mchungaji yaonekana kama ana mbingu ya kwake. Kuna kundi wanajiita mitume na manabii na Kuna kundi la maaskofu na wachungaji ,maaskofu na wachungaji wanahisi wao nao wanambingu Yao ambayo mitume na manabii hawataenda ! Na mitume na manabii pia wanaona wachungaji na maaskofu hawana nguvu ya mungu Tena!

Hizi ni dalili mbaya sana kwa miaka 20 ijayo ya ukristo, mpaka Sasa asilimia 70 waislam wako sawa na unaweza kuwaelewa! Lakini wakristo wamefeli kabisa , naikubali sana ibada ya hija na Ile ya kuchinja waislamu wanaungana Duniani kote kwa ajili ya Allah!

Lugha Yao inakuwa Moja na kauli Yao ni thabiti kabisa ,wanavaa vizuri sana wanapokuwa kwenye ibada na hata ,huwezi kuyaona mapaja ya mwanamke msikitini yakiwa nje sijui kama nitaweza kuuvumilia ukristo kwa miaka michache ijayo mungu aturehemu !
Bahati mbaya katika Wakristo hakuna mpumbavu kama wewe.
 
Huna sababu ya kuandika yote na kupoteza muda kama kweli wewe ni mkristo basi fata maamuzi yako lakini yesu ni yuleyule jana leo kesho na
milele kama umetumwa kuchafua dini za watu mungu atashughulika na wewe
 
Wewe ni mamluki wa mudi umekuja kuleta propaganda hata muandiko unaonyesha.

Kimsingi dini ya kiislam ni dini inayoamini sana katika matendo ili upate wokovu,ndio mana wanapambania sana maisha ya utu wa nje sio utu wa ndani,ndio maana wengi wao wamejaa husuda,wivu,chuki na ubaguzi baina yao na hata kwa wasio waislamu wenzao.

Wokovu unapatikana kwa neema na haki ya kristo pekee,na kama unaenda kanisani kukitegema uipate hiyo neema na haki kupitia viongozi wa dini au waumini jua wewe sio mkristo wa kweli bali ni mkristo jina.

Kuna makanisa mengi still ibada zao ni njema za za kumtukuza Mungu. Kristo awe mfano kwako kuuishi ukristo.

Ila kama umeona huko kuko sawa ukristo haumlazimishi mtu kutoka ni wewe na mawazo yako.

Kila jema.
Myahudi wa chato kaacha hoja kavamia waislam,mtapata tabu sana na huo ndio ukweli,mtaa ninao kaa mchungaji analazimisha chai wakanywe kanisani ili auze maandazi na mikate yake.
 
Hama tu Kama umegundua hivyo au waweza kufungua kanisa lako linalofanana na Hilo la mwaka 80 au 90 huko ili wakengeufu wote waige mfano kutoka kwako.
Nimejifunza kitu kimoja,wakristo hoja hawanaga,tuanze kumpinga jamaa kwa hoja na si kumfokea.Alicho kiekeza kipo au hakipo twende kwa hoja na sio kubwatuka
 
Napenda sana ibada, naamini kupitia ibada mambo mengi yanaweza kuwa sawa! Napata shida kidogo na Imani yangu ya ukristo, miaka ya 1980 -1990 ibada ilikuwa nzuri sana kokote utakakoenda kusali na kanisa lolote utakaloingia Ibada zilikuwa na nguvu halisi ya Mungu.

Hapakuwa na makorombwezo Wala mbwembwe kama Sasa! Huwa navurugwa sana nikiingia kanisani mambo mengi yamebadilika! Kanisa la Sasa imekuwa sehemu ya disco,dance na mitindo ya hovyo ya mavazi, wanawake wanavaa nguo ambazo hata kwenye baadhi ya bar hawavai na wachungaji wako busy na mapato na matumizi. Mahubiri asilimia tisini ni fedha na mipasho! Nimechoka na miujiza ya zana kama uganga, kanisa la Leo mchungaji anaamini lazima abebe zana ndio apande madhabahuni ,ukristo unabadilika Kila mwaka ,sura ya kanisa sio Ile ya 1990 ,2000.

Kila mwaka kanisa linavaa sura nyingine, wachungaji wetu wanavita kubwa ya kugombea waumini kiasi hawana ushirikiano Tena ! Ni maadui na hawana maombi ya pamoja Tena kama zamani. Kila mchungaji yaonekana kama ana mbingu ya kwake. Kuna kundi wanajiita mitume na manabii na Kuna kundi la maaskofu na wachungaji ,maaskofu na wachungaji wanahisi wao nao wanambingu Yao ambayo mitume na manabii hawataenda ! Na mitume na manabii pia wanaona wachungaji na maaskofu hawana nguvu ya mungu Tena!

Hizi ni dalili mbaya sana kwa miaka 20 ijayo ya ukristo, mpaka Sasa asilimia 70 waislam wako sawa na unaweza kuwaelewa! Lakini wakristo wamefeli kabisa , naikubali sana ibada ya hija na Ile ya kuchinja waislamu wanaungana Duniani kote kwa ajili ya Allah!

Lugha Yao inakuwa Moja na kauli Yao ni thabiti kabisa ,wanavaa vizuri sana wanapokuwa kwenye ibada na hata ,huwezi kuyaona mapaja ya mwanamke msikitini yakiwa nje sijui kama nitaweza kuuvumilia ukristo kwa miaka michache ijayo mungu aturehemu !
Acha bangi
 
Bora hata na wewe umemgundua mapema. Huyu ni mvaa kobazi. Ameamua kutumia njia ya kizamani kuja kuwaharibia watu wa imani nyingine.
Aliyo yazungumza yapo au hayapo???tofauti na hapo utakuwa kundi lilelile la upumbavu umeshimdwa kujibu hoja
 
Back
Top Bottom