SoC04 Mikopo ya halmashauri kwa wanawake ,vijana na watu wenye ulemavu bado haitoshi

Tanzania Tuitakayo competition threads
Apr 24, 2024
9
6
Jambo la utoaji wa mikopo kwa wajasiriamali wadogo ambao wengi wao ni wanawake vijana na watu wenye ulemavu bado haitoshi kwa kiasi kikubwa.

Ili kupata Tanzania bora tunayohitaji lazima serikali iangalie kwa kiasi kikubwa juu ya kutafuta njia mbadala ya kuweza kuwawezesha watu wengi zaidi katika upatikanaji wa mikopo ili waweze kujiajiri wao binafsi kwa kiasi kikubwa bado watu wengi hawajafikiwa na mikopo hii ya sasa ya halmashauri jitihada za dhati kabisa zinahitajika kutoka serikalini ili kuweza kuongeza wigo mpana zaidi wa uwezeshaji wananchi kiuchumi.
 
Back
Top Bottom