Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,085
- 8,466
Hizi code za bigiboi sijawahi bahatisha hata moja ngoja nione leo
Hahaaaaa, mwanzilishi wa huu uzi, ukopoa kijana?? ,Wazee wa mikeka hali ya weekend vp
Yaliyomo yamo au maumivu
Ahahaha mi nipo poa kabisa
Yaani kwenye dp unaweza sema huyu jamaa ni mtu waaina tofauti kwa mara ya kwanza leo nimeruka na mkeka wake .Mkuu ww hata ukiweka code iliyowazi kabsa ya ushindi watu wanaogopa kuufata huo mkeka kutokana na dp yako hiyo ila unaonekana unaweza kubashiri sana mechi
Karibu sana mdau, sijui ulifikiria nini kuanzisha huu uzi,Ahahaha mi nipo poa kabisa
Sema ubize umekua mwingi sana sionekani
Hahahah baada ya kumaliza chuo nilikua sina kitu nikaona nianzishe ka uzi kakupeana maarifa na wana
Hii code mbona zinakuja odd nnebetPawa
2 Odds
FC91CEB
Weka code Sasa unatuwekea maandishi hata hayaonekaniOdds 20 hzo hapo tukutan Baad ya 90View attachment 2523960
Baada yakuanzisha uzi ukatuacha zako nakujiondokea , leo hii kanji anatuliza .Hahahah baada ya kumaliza chuo nilikua sina kitu nikaona nianzishe ka uzi kakupeana maarifa na wana
Weka code ya huu mkeka sasaOdds 20 hzo hapo tukutan Baad ya 90View attachment 2523960
wasiomjua mmiliki wa huu uzi daahHahahah baada ya kumaliza chuo nilikua sina kitu nikaona nianzishe ka uzi kakupeana maarifa na wana
Aliuanzisha mwaka gani kwaniwasiomjua mmiliki wa huu uzi daah
Pole mnoAsee 15M imekuwa kama ndotoView attachment 2523317