Treni hili kidogo litiki aiseeh!
Screenshot_20230202-153213_1.jpg
 
Kumbe hawa mafala mawakala wa 1xbet kudeposit na kutoa wanakata 1000 . wana tuibia Mbaya kuregister uwakala ni very simple . Issue ni muda . Blood f**** nitafanaya hii biashara na commission 1xbet wanatoa kila deposits f**k them almost 2% 😤😤😤😤😤😤😤
Mlikuwa mnawasifia sana au sio
 
Kumbe hawa mafala mawakala wa 1xbet kudeposit na kutoa wanakata 1000 . wana tuibia Mbaya kuregister uwakala ni very simple . Issue ni muda . Blood f**** nitafanaya hii biashara na commission 1xbet wanatoa kila deposits f**k them almost 2%

1xbet haina kodi ya 15% kama kampuni nyingine, bora kukatwa 1,000/- kwa kila muhamala unafanya kupitia kwa wakala kuliko hizo kodi za 15% kwa kila mkeka unaoshinda.

Chaguo ni lako mkamaria.
 
Kumbe hawa mafala mawakala wa 1xbet kudeposit na kutoa wanakata 1000 . wana tuibia Mbaya kuregister uwakala ni very simple . Issue ni muda . Blood f**** nitafanaya hii biashara na commission 1xbet wanatoa kila deposits f**k them almost 2%

Hmmmm!! Unatumia wakala gani??

Nipo 1xBet muda mrefu sana na natumia njia ya wakala. Ila sijawahi katwa hata senti 1 kwa wakala, zaidi ya kukatwa Ada ya muamala (mtandao husika) or bank.
 
Kumbe hawa mafala mawakala wa 1xbet kudeposit na kutoa wanakata 1000 . wana tuibia Mbaya kuregister uwakala ni very simple . Issue ni muda . Blood f**** nitafanaya hii biashara na commission 1xbet wanatoa kila deposits f**k them almost 2% 😤😤😤😤😤😤😤
Mawakala gani mnatumia ? Mimi namtumia 50000 anaweka kavukavu yoote naikuta 50000
Wakala ni Romano mzee
 
Kumbe hawa mafala mawakala wa 1xbet kudeposit na kutoa wanakata 1000 . wana tuibia Mbaya kuregister uwakala ni very simple . Issue ni muda . Blood f**** nitafanaya hii biashara na commission 1xbet wanatoa kila deposits f**k them almost 2%
Huyu jamaa sijui anatumia wakala wa wapi huyo.... Mbona sijawahi katwa hata sh.100 mimi
 
Back
Top Bottom