Kuna nyingine Tena hapo chini sema tukiedit hapo ft drw tujitahd tuweke ht tuone
oya kaweka zingine mzee tengeneza codeWadau naombeni mnieleweshe, mnavyozungumzia treni huwa mnamaanisha kuanzia mechi ngapi?
Oya Kaka tengeneza code nyingine kaweka hapo aisee
Ikifika saa tisa zote nitaziweka pamoja kwenye mkeka mmojaKuna nyingine Tena hapo chini sema tukiedit hapo ft drw tujitahd tuweke ht tuone
Dah zingine mzee sizinaanza mapema bossIkifika saa tisa zote nitaziweka pamoja kwenye mkeka mmoja
Ndiyo hivyo aisee, Hilo halipingikiKumbe kwenye betting Jana mess sio man of the match
Wanasema jana Alvarez ndio alikuwa MOTMView attachment 2446435
Mkuu,Nimefanya utafiti wa kutosha juu ya hili Mkuu, samples ni humu Jukwaani,huko nje ya Jukwaa kwenye Platforms nyingine za kubashiri,yakiwemo magroup ya WhatsApp. Nina Almost mwaka sasa sijawahi kuona mtu kashinda hayo matreni nikiwemo mimi kwa kujitengenezea odds ama kwa kukopi Codes. Kama wapo basi ni 1/100 000. Vilio vyetu ni vilevile "Timu 1 imeninyima milioni 17, timu mbili zimechana aisee."
Ila bets nyingi zinazoshinda kila mtu anajua ni either zile single games ama multiple games lakini chache. Yes no sure bet wala sure odds ila hapa tunaangalia uwezekano wa kushinda. Kwenye mabehewa uwezekano wa kushinda ni 0.01% ila wale wa Odds kidogo uwezekano ni above 70% hadi 90% ndo maana unaona hata stake zao mara nyingi ni zile ambazo ni kama mtu ana uhakika zaidi.
Ni hayo tu,ila neno langu sio sheria lakini MATRENI NI UPUMBAVU indeed.
Idea nzuri. Hii inaweza kukurahisishia ku cashout endapo game za mwanzo zitakuwaZile tips za Pdidy nimeziweka pamoja
SportybetView attachment 2446330
Treni ni neno tu tuliamua kulitumia kumaanisha mechi nyingi sana. Ila kwa kawaida treni ni mechi si chini ya 20 hadi 60 mwisho.Train huwa timu ngapi mkuu ili tuwekane sawa kwanza! maana kuna watu huwa wanakula pia
bigboi unafeli sasa binadamu ndio walivyo ukiwapa chai iliopoa wanaipasha ukiwapa ya moto wanapuliza.05A817
55981E
809951
39661E
986C548
C97EF2
8B1B7AA
3269C36
158693F
669500A
044D26
74AE2F
8D7793
19DDAC4
59E5778
59E5778
SPORTYBET PROBABILITY YA HII MIKEKA KUTOA NI 0.0% MAANA LAWAMA KEJELI ZIMEZIDI HUMU TODAY ITAKUWA SIKU YA MWISHO KWANGU HUMU WISH U ALL THE BEST KWA KUMPIGA MUHINDI
Boss zifanyie kazi Basi hizoo mechi za pdidyCode ya sportybet haionekani vizuri kwwny picha 6AE862
Kila la kheri
Hiyo ni correct scoreHii unachezaji ndugu zangu
Oya mwamba saa tisa ndyo hii hujaedit tu kabisa siseeHiyo ni correct score