Betpawa Jackpot, goals mechi 15 mpaka sasa nimekosea 1 nimepatia 11, bado mechi mbili za leo na moja imeahirishwa, vipi nikikosea zote 2 za leo kuna uwezekano wa kupata mpunga wowote??
Minimum ni 13 ila huo mkeka na kama kuna zilizoahirishwa wana kanuni za mechi ya juu yake matokeo yake kuhesabika na wakati mwingine away kama ndiyo yenyewe.

Unahitaji zote mbili uzipate kupata bonus zilizobaki ni zipi moja imeisha sasa hivi Brisbane sare zipi nyingine zimebaki?
 
Wakuu naamin wote humu niwatafutaji naomba tuelekezane namna nyingne ya kupata pesa kirahis na bila kutoa jasho ila kinachotaftwa Ni mda tu......naongelea maswala ya cryptoccureny....ukiivest huko Kuna faida mfano mm nilinunua etherium moja mwez wa sita mwanzon kwa sh 397000/ leo hii et etherium moja inauzwa lak 921500! Hebu unaweza kuona Ni faida Kias gan nimetengeneza. Pia nilinunua stellar 260 ambazo mwez huo zilikuwa zinauzwa kwa sh 111 kwa Kila moja lakin leo hiii stellar imepanda nakufikia 250 hapo niliweka tu pesa yangu na kutulia kwa hyo unaweza kuona Ni namna gan ilivyorahisi kuwin! Naomba mnielewe sijasema betting mbaya ila kwa anayeweza Ni vyema akawekeza huku yaan wahold!
Nawatakia majukum mema kuekelea uchumi wa kati
Funguka zaidi mzee baba
 
Screenshot_20200810-143212.png

Odds 4 hizi wakuu
 
Back
Top Bottom