Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,328
- 4,053
400 hundred years of slavery ya mtu mweusi katika ardhi ya marekani na visiwa vya carribean.
Miaka mia kadhaa ya utumwa na ukandamizaji wa kiovu katika bara la Afrika.
Naelewa katika process ya kukamata watumwa ilifanyika kwa kuvamia vijiji huku wengine wakiuzwa na viongozi wetu wa kaya.
Are we coded kwa ajili ya tabu?
Are we engineered to be controlled by others?
Are we stupid enough kupitia magumu yote yale?
Or
shit just happens, kwa maana hatukuwa na siraha za moto kipindi jamaa wanakuja kutuvamia.
Even after all tuliyopitia bado sisi tumebaki masikini na wasindikizaji huku tukiwa controlled indirectly na hawa hawa jamaa walio tutesa kwa kiwango uovu.
Karma yetu iko wapi? Haki ya mnyonge tunaohubiriwa iko wapi?
Au bado justice yetu haijafika?
Au mapumziko yetu sio ya hapa duniani?
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app