Mh. Saada Mkuya aja tena na swali la KIBAGUZI

majebsmafuru

JF-Expert Member
May 1, 2017
453
628
Ni wiki iliyopita tu toka Mh. Saada Mkuya kuwasilisha hoja ya Zanzibar kutokuwepo na kutokuhusishwa kwenye mpango wa taifa wa maendeleo, na kutokea kuzongwa zongwa na Waheshimiwa wenzake...
Yaonekana hakujifunza wala nini, leo kaja na swali la KIBAGUZI lililomfanya Mh. Mbarawa kustuka, kuhamaki na kumuwakia Mh. Saada Mkuya kwa kuleta mambo ya kibaguzi, kukosa utaifa na weledi kama kiongozi wa zamani wa dola..
Imesikitisha wengi na kudiriki kusema Mh. Saada Mkuya, labda anawasilisha mawazo na fikra za Pemba vijijini au story za vijiweni pale Zanzibar Darajani!
Wanabodi karibu kujadili bila matusi wala hamaki..
PROF MBARAWA AMSHUKIA SAADA MKUYA BUNGENI via YouTube
 
Wahenga walisema "Dai haki yako uonekane mbaya" ndio tunasikieni eti mbaguzi mara mtasema mdini mara huyo ni sawa na mpinzani. Ni haki yake mwacheni atoe mawazo yake kama sheria inavyomruhusu
 
Uyu saada anataka kuleta mambo ya majirani zetu ambao wanatambuana kwa ukabila
 
By the way what is Zanzibar?? Ni kaeneo kadogo ka watu milioni kanataka kwenda pasu kwa pasu na watu milioni 50. fuuu
Kama ni kawatu kadogo kama millioni mbona mnakangangania
Tupeni zanzibar yetu
Muone kama hamjakuja kutalii
Na kuosha macho
Itakuwa kama dubai
 
Back
Top Bottom