Midumare Ngatuni Iwato
JF-Expert Member
- Jul 13, 2016
- 1,653
- 2,038
Naombeni kuhuliza ameolewa...naombeni mnisaidie ili haweze kuupenda Muungano..lazima achanganyike nadamu yakibara ambayo niyangu
Haya yote mbona hakuyasema Wakat yy waziri ni hasira tu za kukosa cheoWahenga walisema "Dai haki yako uonekane mbaya" ndio tunasikieni eti mbaguzi mara mtasema mdini mara huyo ni sawa na mpinzani. Ni haki yake mwacheni atoe mawazo yake kama sheria inavyomruhusu
Usawa jomba.....sio kupendelewa ....bali kujipendelea kwa tanganyika.
Kwenu nyinyi sura ya muungano ni kupendelewa?
Msipo pendelewa hakuna suna sura ya muungano, si ndio?
Usawa jomba.....sio kupendelewa ....bali kujipendelea kwa tanganyika.
Ungejiuliza ile wizara ya Makamba ya Muungano ina Wazanzibari wangapi ? =zero
Hali ya hewa=zero
ATC=zero
Mambo ya Nje=zero, balozi =1
Mambo ya ndani = zero
VAT zanzibar inakuja Tanganyika
Kodi za Simu Zote ikiwamo vat na miamala hata zitumikazo Zanzibar zote Tanganyika wanachukua
VAT za bima hata kwa bima za zanzibar zote Tanganyika wanachukua..hizi pekee ni 5billion kwa mwezi
Visa fees zote Tanganyika....zanzibar inapokea wageni watalii 300,000 kwa mwaka haiambilii kitu kwemye visa
Leseni za Banks zote tanganyika na kodi za miamala zote tanganyika
Shiling ikiporomoka sababu tanganyika..zanzibar waumie tu wao bila fidia...nk nk nk
Sasa huu muungano ZIMWI
Wewe kipofu hujui kusoma hapo juu tunavo changia bila faids
Huo usawa ni kwenye kunuifaika tu?
Mngekuwa mnapenda usawa mnge changia basi na gharama za kuendesha muungano
Hakuna cha maana ulicho andikaWewe kipofu hujui kusoma hapo juu tunavo changia bila faids
Avater yako inakuelezea mkuu. endelea kuwaza hivo hivoKama ni kawatu kadogo kama millioni mbona mnakangangania
Tupeni zanzibar yetu
Muone kama hamjakuja kutalii
Na kuosha macho
Itakuwa kama dubai
Sio kweli
Hakuna cha maana ulicho andika
Kwa taarifa yako mapato yote yanayo kusanywa Zanzibar hubaki hapo hapo Zanzibar (wana chukua SMZ)
Sio kweli
Visa ni moja tu...
Pili kodi za simu hakuna mgao
Bima zinakatwa bara vat inalipwa bara
Vat ambayo iko wazi ni ya custom tu pekee
Tunachangia sana kupata hamna cha maana zaidi kutuwekea puppets
Nimestaajabu kweli alichoongea huyo mama
ni maajabu
Naombeni kuhuliza ameolewa...naombeni mnisaidie ili haweze kuupenda Muungano..lazima achanganyike nadamu yakibara ambayo niyangu
dhambi ya ubaguzi haimwachi mtu salama
Ni wiki iliyopita tu toka Mh. Saada Mkuya kuwasilisha hoja ya Zanzibar kutokuwepo na kutokuhusishwa kwenye mpango wa taifa wa maendeleo, na kutokea kuzongwa zongwa na Waheshimiwa wenzake...
Yaonekana hakujifunza wala nini, leo kaja na swali la KIBAGUZI lililomfanya Mh. Mbarawa kustuka, kuhamaki na kumuwakia Mh. Saada Mkuya kwa kuleta mambo ya kibaguzi, kukosa utaifa na weledi kama kiongozi wa zamani wa dola..
Imesikitisha wengi na kudiriki kusema Mh. Saada Mkuya, labda anawasilisha mawazo na fikra za Pemba vijijini au story za vijiweni pale Zanzibar Darajani!
Wanabodi karibu kujadili bila matusi wala hamaki..
PROF MBARAWA AMSHUKIA SAADA MKUYA BUNGENI via YouTube
Usawa jomba.....sio kupendelewa ....bali kujipendelea kwa tanganyika.
Ungejiuliza ile wizara ya Makamba ya Muungano ina Wazanzibari wangapi ? =zero
Hali ya hewa=zero
ATC=zero
Mambo ya Nje=zero, balozi =1
Mambo ya ndani = zero
VAT zanzibar inakuja Tanganyika
Kodi za Simu Zote ikiwamo vat na miamala hata zitumikazo Zanzibar zote Tanganyika wanachukua
VAT za bima hata kwa bima za zanzibar zote Tanganyika wanachukua..hizi pekee ni 5billion kwa mwezi
Visa fees zote Tanganyika....zanzibar inapokea wageni watalii 300,000 kwa mwaka haiambilii kitu kwemye visa
Leseni za Banks zote tanganyika na kodi za miamala zote tanganyika
Shiling ikiporomoka sababu tanganyika..zanzibar waumie tu wao bila fidia...nk nk nk
Sasa huu muungano ZIMWI
Hana data za kutosha huyu, wale wale wanapayuka bila utafiti, akiletewa data sijuwi atasemaje, akumbuke, swala ni uwezo na kufaa kufanya kazi yoyote na sio Uzanzibari au Utanganyika..bado mazuzu wanataka kuturudisha nyuma..Kwani Massauni anatoka Njombe?