Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,223
- 7,417
Subbie hajawahi kupata mpinzani
Duuh!! Foresta comfort na status🤣🤣🤣🤣FORESTER unyama mwingi, comfort, SPEED na Status!
Anatetea gari anayomilikiDuuh!! Foresta comfort na status🤣🤣🤣🤣
Inategemea Tabaka mtoa mada alipo. Huenda yupo Kwa vijana wapiga mishe za udalali wa fremu za biashara SinzaDuuh!! Foresta comfort na status🤣🤣🤣🤣
FORESTER unyama mwingi, comfort, SPEED na Status!
Mkuu vipi kuhusu C200 Compressor ?? Je ni option nzuri? Na ipi zaidi inafaa kwa mazingira yetu?Dah hizi gari unazilinganishaje mkuu?
Kwanza hiyo E class umepost hakuna e class ya 2008 kama hiyo,
Hiyo gari imeanza production may 2009 na models zimeanza 2010.
Pia kwa mwaka uliotaja na kwa muinekano wa gari, E200 utapata la Cc1790 lakini engine yake haitokuwa na Supercharger kama matoleo ya nyuma yake, yenyewe itakuwa turbo charger pia ni direct injection engine (ujanja ujanja weka pembeni).
Ground clearance ndogo kama wajerumani wengine kwenye sedan. Kama unaishi sehemu barabara siyo nzuri then hii kitu achana nayo.
Bei ya spea mlima ila zipo available kama unaishi Dar.
The rest ni gari poa.
Mazingira mujarabuMkuu vipi kuhusu C200 Compressor ?? Je ni option nzuri? Na ipi zaidi inafaa kwa mazingira yetu?