Mdahalo wa kutathimini Nafasi ya Mwanamke wa Tanzania katika Miaka 60 ya Muungano wa Tanzania ulioandaliwa na Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
812
513
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika Mdahalo wa kutathimini Nafasi ya Mwanamke wa Tanzania katika Miaka 60 ya Muungano wa Tanzania ulioandaliwa na Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam tarehe 25 Aprili, 2024.

 
Hivi mama yangu kule kijijini naye mchango wake unaangaziwa kweli? Tuache utani.
 
Back
Top Bottom