Dadii
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 748
- 1,149
Nimehuzunishwa sana na taarifa za humu mpka tukafika mahari tukaanza sema RIP Ngida.
Naomba niseme ni uzushi mkubwa sana..Mungu si Athumani nimekutana na Baba Baba Ngida....maeneo ya Tegeta Nyuki na ni Mwalimu ya School of Atlas pale Madale.
Kwakweli nilijisikia furaha sana, ila watu acheni kuzushia watu ni mabaya sana.
Japo ana matatizo ya kiafya muda mrefu na hajarecover.... kama kutakuwa na mtu yuko tayari kuonana nae au kutuma mchango kama support basi niko tayari kutoa namba yake uwasiliane nae mwenyewe.
kama uko tayari njoo pm nikupe namba yake.
Live longer Ngida.