Mbunge wa Tarime asema wakiteuliwa watu wanaokubalika watashinda kwa asilimia mia moja

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
943
4,458
Mwita Waitara akiwa mbele ya Komredi Kinana ameeleza wananchi na wanachama wa CCM kwamba uchaguzi wa serikali za mtaa na uchaguzi mkuu hautakuwa na demokrasia katika jimbo lake. Wakati akiyasema hayo viongozi wa CCM wa kitaifa wameonekana kufurahia kauli hiyo na kumuunga mkono.

Katika hali isiyo tegemewa amesema sheria za nchi zinaishia katika daraja la Mto Kirumi ambalo ni mpaka wa wilaya hiyo. Kwa mtizamo wangu na kuzingatia presha iliyopo kwa sasa naamini huu ndio msimamo wa CCM na Makamu mwenyekiti Kinana ameunga mkono hoja hii kwanza kwa kushangilia bila kuonyesha kukerwa, pili kwa kukaa kimya kwenye majumuisho na tatu kwa kumruhusu Mbunge huyu kuendelea kuhubiri chuki na uvunjaji wa sheria.

Lakini pia mbunge naposema hakutakuwa na sheria za uchaguzi na tume ikakaa kimya maana yake hii ni agenda ambayo imebarikiwa na watwala.

=======
 
Serikali itumie busara,uchaguzi sehemu hiyo usifanyike kuokoa gharama na badala yake pesa zipelekwe kwenye shughuli nyingine.
 
Mwita Waitara akiwa mbele ya Komredi Kinana ameeleza wananchi na wanachama wa CCM kwamba uchaguzi wa serikali za mtaa na uchaguzi mkuu hautakuwa na demokrasia katika jimbo lake. Wakati akiyasema hayo viongozi wa CCM wa kitaifa wameonekana kufurahia kauli hiyo na kumuunga mkono.

Katika hali isiyo tegemewa amesema sheria za nchi zinaishia katika daraja la Mto Kirumi ambalo ni mpaka wa wilaya hiyo. Kwa mtizamo wangu na kuzingatia presha iliyopo kwa sasa naamini huu ndio msimamo wa CCM na Makamu mwenyekiti Kinana ameunga mkono hoja hii kwanza kwa kushangilia bila kuonyesha kukerwa, pili kwa kukaa kimya kwenye majumuisho na tatu kwa kumruhusu Mbunge huyu kuendelea kuhubiri chuki na uvunjaji wa sheria.

Lakini pia mbunge naposema hakutakuwa na sheria za uchaguzi na tume ikakaa kimya maana yake hii ni agenda ambayo imebarikiwa na watwala.
maskini washindani 🐒
 
Waitara inawezekana alitoa hiyo kauli akiwa chakari. Yule ni nadra sana kumwona akiwa katika utimamu wa akili.
 
Mtu anapolewa Huwa Hana Siri, hivyo aliyoyasema katika ulevi wake, yametokea ndani kabisa ya moyo.

Time hii, tutawaalika Malaika kuja kusimamia HAKI ndani ya vyumba vya kupigia kura.
 
Mwita Waitara akiwa mbele ya Komredi Kinana ameeleza wananchi na wanachama wa CCM kwamba uchaguzi wa serikali za mtaa na uchaguzi mkuu hautakuwa na demokrasia katika jimbo lake. Wakati akiyasema hayo viongozi wa CCM wa kitaifa wameonekana kufurahia kauli hiyo na kumuunga mkono.

Katika hali isiyo tegemewa amesema sheria za nchi zinaishia katika daraja la Mto Kirumi ambalo ni mpaka wa wilaya hiyo. Kwa mtizamo wangu na kuzingatia presha iliyopo kwa sasa naamini huu ndio msimamo wa CCM na Makamu mwenyekiti Kinana ameunga mkono hoja hii kwanza kwa kushangilia bila kuonyesha kukerwa, pili kwa kukaa kimya kwenye majumuisho na tatu kwa kumruhusu Mbunge huyu kuendelea kuhubiri chuki na uvunjaji wa sheria.

Lakini pia mbunge naposema hakutakuwa na sheria za uchaguzi na tume ikakaa kimya maana yake hii ni agenda ambayo imebarikiwa na watwala.
Hakuwa yeye ni K-VANT
 
Back
Top Bottom