Mayele ana nyota ya umaarufu

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,368
Kuna watu wanalalamika kwa nini vyombo vya habari Tanzania sio wazendo

Wanazungumzia saana mayele na wakati msuva alifunga

Ndugu zangu nimeshawahi kupost habari fulani hapa kuhusu mayele mwaka 2022 niliwahi kusema tofauti na umaridadi wake wakufumania nyavu fiston mayele pia ana nyota ya umaarufu Hata ukifanya tukio ndogo litatembea saana.

Jana Kongo walifunga wachezaji wawili Mayele na Tshobola lakini page nyingi za mpira Leo barani Afrika hasa DRC zinazungumzia Mayele kwanini huyo mwingine wamemsau.

Ni nyota

Pia mayele na Msuva, Mayele ana nyota

Mayele na yule bwana wa marumo alikuwa magoli sawa lakini mayele ndo alikuwa ana vuma kuliko yeye caf
Tatizo nyota
 
ni kweli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom