Fiston Mayele tofauti na umahiri wake wa kufunga pia ana nyota ya umaarufu

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,369
Tofauti na umahiri wake wa kufunga
Nimetambua Fiston Mayele pia ana nyota kubwa ya umaarufu.

Beleke amesumbuwa saana kwa siku hizi za karibuni lakini hakuna kituo chochote kikubwa cha televisheni kutoka afrika au nje ya Afrika kiliwahi kupost picha yake au kuongelea habari zake tofauti na Tanzania tu.

Ila Fiston Mayele dah hii ni nyota kubwa saana

Leo habari zake zinaongelewa na kituo kimoja cha habari kutoka Ufaransa RFI
Kituo iki hasa hasa kinapost habari za siasa na ni mara chache saana kuongelea habari za michezo
Screenshot_20230429_113440_com.facebook.katana.jpg
 
Hata wale jamaa wa Waydad walupofunga jana walishangilia kama Mayele kwa kupiga Mkono mara tatu na kufanya ishara ya kupiga kichwa kama Mayele. Jamaa ni amekuja na Icon nzuri ya celebration pia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom