Vichekesho
JF-Expert Member
- Mar 28, 2024
- 468
- 967
Katika hatua yakwanza tulifanikiwa kuiua na kuizika Tanganyika, safari hii tuiue na kuizika Zanzibar tubaki na Tanzania tu.
Unguja na Pemba iwe mikoa, tuweke wakuu wa mikoa wawili kule, nchi iwe 1 tuendelee kuchapa kazi.
Wafitini wasiopenda muungano wetu wakose hoja maana nchi itakuwa 1, Rais 1, Bunge 1, Bendera 1 ya taifa, Wimbo 1 wa taifa nk.