Mawazo huru: Muungano wetu Upige hatua 1 mbele

Vichekesho

JF-Expert Member
Mar 28, 2024
468
967
Katika hatua yakwanza tulifanikiwa kuiua na kuizika Tanganyika, safari hii tuiue na kuizika Zanzibar tubaki na Tanzania tu.

Unguja na Pemba iwe mikoa, tuweke wakuu wa mikoa wawili kule, nchi iwe 1 tuendelee kuchapa kazi.

Wafitini wasiopenda muungano wetu wakose hoja maana nchi itakuwa 1, Rais 1, Bunge 1, Bendera 1 ya taifa, Wimbo 1 wa taifa nk.
 
Hakuna asiyependa Muungano, ni wachache sana mkuu.

Wengi wanapinga huu muundo wa Serikali mbili, una dosari nyingi na hautekelezeki
 
Back
Top Bottom