Matumizi sahihi ya JF yanaweza kukufanya uishi maisha swadakta!

Transistor

JF-Expert Member
Aug 8, 2013
970
1,463
JF nimejiunga miaka 12 ilopita.

Japo sionekani sana kwa sasa ila ni sababu ya JF yenyewe imesababisha haya. Kupitia jukwaa hili nimevuna nilicho panda kwa wanajamii wenzangu. Kupitia JF mimi nipo kama nilivyo sasa.

Napenda kusema Chochote nacho miliki,chochote nacho fanya na ajira yangu ya sasa ni JF. Kwa wale wasio fahamu huu ukweli napenda kuwasanua ni hivi JF inatembelewa na watu wakubwa sana na hata wale matajiri sana.

Unapo post kitu JF kama unapost kwa ajili ya maisha yako hakikisha unakijua na una hakika na unacho post.

JF imejaa wasomi na wengi wana pesa katika makabati wanahitaji mbongoz kupitia JF ili wawekeze.

Na usiogope kupata negative feed back za comments za wanazengo kwa post zako...kama tu unajua unacho present ni facts wewe post unacho kiamini.

Humu ndani kuna watu wa mataifa mbalimbali...wanachoangalia wao ni facts ya presentation na sio negative comments.

Mimi katika mafanikio yangu nimepata connection na simu nyingi kupitia post ambazo zina negative comments nyingi za wabogo ila wachina wakaona fursa. Hivyo unahitaji post moja tu kubadilisha maisha yako. Sijui ningekua nani bila JF.

Katika JF huhitaji Blue tick,wala huhitaji kulipwa,unacho hitaji kama JF kwako ni mtandao wa kukujengea maisha basi present strong mindset ya kile unacho fanya kama proffessional. Kuna watu kibao hapa wamejaa na wana pesa na hawajui watazipeleka wapi wanaangalia vichwa JF.

Kupitia JF unakutana na matajiri wanaweza kuwekeza hata B3 na wewe ukawa msimamizi sio kwasababu wanakujua sana ni sababu wameona kazi zako JF...

Ukisema B3 wengi hawajui kupitia JF nimesha simamia miradi ya bilioni 3...hahaaha

Kuna miradi mingi ya kifahari imejengwa na mwana JF kwa uaminifu wa mwana JF..

So JF is life....
 
Who is mtu mkubwa wazee kila kukicha tunatishana , kuna wengine tumenufaika na JF kwa kupewa connection ambazo pengine tusingezipata kokote pale .... Tena kupitia tu replies za watu no kufata mtu Pm wala nini , unasoma tu comment ya mdau unatoka na idea then huyoo unasepa kupiga hela...

Hapa duniani hamna mtu mkubwa tunapishana level za mafanikio kwa interval ya mda
 
Who is mtu mkubwa wazee kila kukicha tunatishana , kuna wengine tumenufaika na JF kwa kupewa connection ambazo pengine tusingezipata kokote pale .... Tena kupitia tu replies za watu no kufata mtu Pm wala nini , unasoma tu comment ya mdau unatoka na idea then huyoo unasepa kupiga hela...

Hapa duniani hamna mtu mkubwa tunapishana level za mafanikio kwa interval ya mda
yeah for real 😍
 
Back
Top Bottom