Maswali haya je una majibu?

Vincenzo Jr

JF-Expert Member
Sep 23, 2020
13,463
28,285
Masawali haya je una majibu?jibu kisha nitumie majibu(mtihani wa maarifa ya dunia)

1.Kama hela haioti kwenye kwenye miti kwa nini bank zina matawi ?

2.Kwa nini gundi hainati kwenye chupa yake?

3.Kama tunatakiwa tusi-drive wakati tumekunywa kwa nini bar kuna parking?

4.Kama neno abbreviation lina maanisha ufupisho kwa nini lenyewe ni refu hivo ?

5.Kama tunatakiwa kufanya sex ndani ya ndoa kwa nini tunabalehe kabla ya kufunga ndoa kazi kwako?
 
Eti mtu mzima anaanzia miaka 18, mbona tunabalehe kabla ya miaka hiyo?

Utasikia "binti akiwa na miaka 15 hajakomaa kuzaa" kwanini anavunja ungo sasa katika umri huo? Maanake si mwili uko tayari kwa kazi bana!!!
 
Kabisa naunga mkono hoja 👍👏
 
Back
Top Bottom