Marekani yazidi kubembeleza ili ibaki Niger

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,455
11,436
Watawala wapya wa Niger wamefuta mahusiano na taifa la Ufaransa ambalo ndilo lilikuwa mkoloni wao.

Ufaransa baada ya kusita sita hatimae ilishindwa hoja na ikaamua kuongoka.

Marekani nayo imetakiwa ifanye kama hivyo lakini imekuwa king'anng'anizi ikidai kuwa inalinda maeneo ya jangwa la Sahel kutokana na vikosi vya ISIS ambao wana mafungamano na Alqaeda.

Eneo la Agadez ndiko kuna kambi kubwa ya kijeshi ya Marekani yenye askari wapatao 920 ikihodhi ndege kadhaa za kijeshi pamoji na droni.

Hiyo ndiyo kambi kubw ya kijeshi katika eneo lote la kaskazini ya Afrika.

The US attempts a new military deal with Niger in a last ditch effort to stay

 
Back
Top Bottom