Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,921
- 15,614
Marekani imeendelea kudhalilika tena kwenye kuisaka teknolojia ya makombora ya Hypersonic.
Jana Jumanne jeshi la anga la nchi hiyo ambayo imekuwa ikijigamba na kupaishwa kuwa iko mbele ya Urusi na China kwenye teknolojia za silaha za kivita imeshindwa tena ktk jaribio lililofanywa la kuisaka teknolojia ya kombora la Hypersonic. Hypersonic missile ndio makombira habari ya mjini ambayo hayadunguliwi na mifumo ya anga duniani.
Wakati Marekani jasho likiendelea kumtoka la kuitafuta chemistry ya makombora ya Hypersonic, ikifeli tena na tena kwa miaka kadhaa, Urusi imeendelea kuyatumia makombora hayo vitani Ukraine.
=====