Mapenzi yanauma, usishangae mtu kufanya maamuzi magumu

kadogo2

JF-Expert Member
Feb 16, 2024
562
1,110

Shida ni moja tu unatamani kuwa na mtu unaempenda wenginee wote huwaelewi Halafu huyo mtu hana mpango na wewe

Kuna muda unawaonea wivu wenzio wenye wapenzi wao mpaka unajiuliza au Mimi ndio nimewekwa Kama mfano wa wanaoteseka na mapenzi

Nipeni mbinu ya kumsahau mtu akilini mwangu naona kuwa nae imeshindikana

Jamani mimi wa kike so mkomenti ushaurii wa kike
 
Tafuta hela ukiona demu unamtaka mnunulie pochi au viatu au perfume mpe mwongozee na pesa ya kula na nauli uone kama hujashobokewa usitumie nguvu tumia akili 😃😃😃😃😃
 
Tafadhali kama upo pekeyako hapo ulipo Toka uende hata bar uiajichangane na watu. Unaweza ukajitundika hivi hivi
 
Shida ni moja tu unatamani kuwa na mtu unaempenda wenginee wote huwaelewi Halafu huyo mtu hana mpango na wewe

Kuna mda unawaonea wivu wenzio wenye wapenzi wao mpaka unajiuliza au Mimi ndio nimewekwa Kama mfano wa wanaoteseka na mapenzi

Nipeni mbinu ya kumsahau mtu akilini mwangu naona kuwa nae imeshindikana

Jamani mimi wa kike so mkomenti ushaurii wa kike
🤣🤣🤣 i wish nikuone, wewe ndio member unayeongozwa kwa kuteswa na mapenzi jamii forum nzima.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom