Manager wa TRA Handeni mjini ni tatizo

Mashaurijr

JF-Expert Member
Oct 8, 2016
882
1,361
Wakuu sijawahi kukutana na mtu mkorofi mtata na mwenye visasi kiasi hiki. Biashara imekuwa ngumu sana mpaka nawaza kuifunga tu asije akanipeleka jela bure maana amepania kupeleka jela wafanyabiashara 6.

Wakuu miezi kadhaa nyuma maduka yote Handeni mjini tuligoma kufungua mpaka mkuu wa wilaya alipokuja kusuluhisha.

Maana huyu Manager amekuwa akipiga faini za hovyo na mgumu sana kumsikiliza mtu. Mtu unakuta anapitia tatizo la kawaida kama mashine kuzingua ndani ya siku hiyo hiyo au siku moja tu tayari hakuelewi. Imekuwa ni kukomoana na amepania hilo zaidi baada ya ule mgomo na yeye kubakishwa bado.

Sasa jana ofisini kwake aliwatishia wafanyakazi wa chini yake kupunguza kiasi cha mshahara na mlinzi mmoja kupoteza mafao akijinasibu uwezo anao. Kosa ni mfanyakazi mmoja kutoka kwa haraka ni mdada nahisi ni shida za kiafya alienda msalani akachukua muda. Anaelezwa amepata shida kiafya kaenda msalani haelewi anaona anadanganywa. Aisee

Sijawahi kukuta ofisi ina manager wa staili hii aisee

Dar es salaam nimeingia ofisi kadhaa za TRA nimehudumiwa vyema sana lakini hapa Handeni tunakomolewa. Sijui tufanyeje ahamishwe maana baada ya ule mgomo wote tulioongea vimbelembele tuna kimbembe.
 
Wakuu sijawahi kukutana na mtu mkorofi mtata na mwenye visasi kiasi hiki.
Biashara imekuwa ngumu sana mpaka nawaza kuifunga tu asije akanipeleka jela bure maaana amepania kupeleka jela wafanyabiashara 6.

Wakuu miezi kadhaa nyuma maduka yote handeni mjini tuligoma kufungua mpaka mkuu wa wilaya alipokuja kusuluhisha
Maana huyu Manager amekuwa akipiga faini za hovyo na mgumu sana kumsikiliza mtu.
Mtu unakuta anapitia tatizo la kawaida kama mashine kuzingua ndani ya siku hiyo hiyo au siku moja tu tayari hakuelewi
Imekuwa ni kukomoana , na amepania hilo zaidi baada ya ule mgomo na yeye kubakishwa bado.

Sasa jana ofisini kwake aliwatishia wafanyakazi wa chini yake kupunguza kiasi cha mshahara na mlinzi mmoja kupoteza mafao akijinasibu uwezo anao. Kosa ni mfanyakazi mmoja kutoka kwa haraka ni mdada nahisi ni shida za kiafya alienda msalani akachukua muda . Anaelezwa amepata shida kiafya kaenda msalani haelewi anaona anadanganywa . Aisee

Dar es salaam nimeingia ofisi kadhaa za TRA nimehudumiwa vyema sana lakini hapa handeni tunakomolewa . Sijui tufanyeje ahamishwe maana baada ya ule mgomo wote tulioongea vimbelembele tuna kimbembe
Dah huu utaratibu wa kuhamishana kama njia ya kuwajibishana ni hatari, unaomba waamishie tatizo sehemu nyingine, sio atimuliwe kabisa
 
Wakuu sijawahi kukutana na mtu mkorofi mtata na mwenye visasi kiasi hiki.
Biashara imekuwa ngumu sana mpaka nawaza kuifunga tu asije akanipeleka jela bure maaana amepania kupeleka jela wafanyabiashara 6.

Wakuu miezi kadhaa nyuma maduka yote handeni mjini tuligoma kufungua mpaka mkuu wa wilaya alipokuja kusuluhisha
Maana huyu Manager amekuwa akipiga faini za hovyo na mgumu sana kumsikiliza mtu.
Mtu unakuta anapitia tatizo la kawaida kama mashine kuzingua ndani ya siku hiyo hiyo au siku moja tu tayari hakuelewi
Imekuwa ni kukomoana , na amepania hilo zaidi baada ya ule mgomo na yeye kubakishwa bado.

Sasa jana ofisini kwake aliwatishia wafanyakazi wa chini yake kupunguza kiasi cha mshahara na mlinzi mmoja kupoteza mafao akijinasibu uwezo anao. Kosa ni mfanyakazi mmoja kutoka kwa haraka ni mdada nahisi ni shida za kiafya alienda msalani akachukua muda . Anaelezwa amepata shida kiafya kaenda msalani haelewi anaona anadanganywa . Aisee
Sijawahi kukuta ofisi ina manager wa staili hii aisee

Dar es salaam nimeingia ofisi kadhaa za TRA nimehudumiwa vyema sana lakini hapa handeni tunakomolewa . Sijui tufanyeje ahamishwe maana baada ya ule mgomo wote tulioongea vimbelembele tuna kimbembe
Wewe ni mfanyabiashara au afisa wa TRA?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu sijawahi kukutana na mtu mkorofi mtata na mwenye visasi kiasi hiki. Biashara imekuwa ngumu sana mpaka nawaza kuifunga tu asije akanipeleka jela bure maana amepania kupeleka jela wafanyabiashara 6.

Wakuu miezi kadhaa nyuma maduka yote Handeni mjini tuligoma kufungua mpaka mkuu wa wilaya alipokuja kusuluhisha.

Maana huyu Manager amekuwa akipiga faini za hovyo na mgumu sana kumsikiliza mtu. Mtu unakuta anapitia tatizo la kawaida kama mashine kuzingua ndani ya siku hiyo hiyo au siku moja tu tayari hakuelewi. Imekuwa ni kukomoana na amepania hilo zaidi baada ya ule mgomo na yeye kubakishwa bado.

Sasa jana ofisini kwake aliwatishia wafanyakazi wa chini yake kupunguza kiasi cha mshahara na mlinzi mmoja kupoteza mafao akijinasibu uwezo anao. Kosa ni mfanyakazi mmoja kutoka kwa haraka ni mdada nahisi ni shida za kiafya alienda msalani akachukua muda. Anaelezwa amepata shida kiafya kaenda msalani haelewi anaona anadanganywa. Aisee

Sijawahi kukuta ofisi ina manager wa staili hii aisee

Dar es salaam nimeingia ofisi kadhaa za TRA nimehudumiwa vyema sana lakini hapa Handeni tunakomolewa. Sijui tufanyeje ahamishwe maana baada ya ule mgomo wote tulioongea vimbelembele tuna kimbembe.
japo tra huwa siwapendi ila wakati mwingine tunayataka wenyewe. kama mashine mbovu imezengua mbona ukitoa taarifa wanaelewa mimi rafiki yangu nilishamsindikiza tra hapo tegeta kuna mdada mmoja yupo kitengo cha elimu alituelekeza tuwasiliane na wakala wa mashine na kama itaonekana inashida ya mida mrefu basi wakala aliyetuuzia atatupa fomu tunawapa tra nao wanatupa barua kukubali toa risiti ya mkono mpaka mashine itakapotengemaa. shida tunakuwa siyo waaminifu ndiyo maana hata mh Raisi alisema kuna wenzetu wachache wanaiibia serikali hawatoi risiti. la kushusha mtu mshahara siwezi qamini sababu meneja hana mamlaka hiyo kwani yeye siyo mwajiri. Nachokiona mimi pengine meneja kaamua fata sheria maana sheria za tra simchezo itakuwa hana makona kona sasa mnaona dawa ahame. Ushauri wangu tufate tu taratibu za kutoa taarifa sioni kama kutakuwa na shida yoyote. mimi naomba kama ni kamishna wa tra ndg Kidata asimwamishe maana itakuwa kila kodi inapokusanywa wataona dawa aondolewe. nimesikiliza juzi yule mama kumbe alikuwa anauza hatoi risiti hana sehemu inaonyesha mauzo yake ndiyo alipobanwa akaja na malalamiko. sasa leo unasema tena mshahara hana ubavu huo wala nguvu wala siyo kazi yake. zipo taratibu za utumishi serikalini mtumishi akikosa sasa hapo mwenyewe unasema dada alienda msalani anaumwa au ni kutaka sema huyo meneja ni katili?
 
Kama unabisha njoo ufungue biashara.
Nina biashara Dar na handeni na pia nasimamia biashara kadhaa za familia.

Njoo handeni . Mashine izingue siku hiyo hiyo upigwe faini siku hiyo hiyo kama ni haki.

Lingine jirani alikosa bidhaa flani akaja kuchukua kwangu yaani kaniazima baadae akileta mzigo anirudishie bidhaa . Hivyo aliyetoa risiti kwa mreja ni jirani . Walivyokuta hilo tunamweleza aawapi tumepigwa faini.
Duuh . Dar hizi changamoto hakuna kabisa na sijawahi kukutana nazo
Kwanini sasa

Tena nikisimamia biashara kubwa kuliko sasa.

Ishu ya watendaji wenzie ni kweli . Ubabe ubabe
 
Hebu wapigie wakuu wake wapo Dar 0800780078 au 0800110016
 
Wakuu sijawahi kukutana na mtu mkorofi mtata na mwenye visasi kiasi hiki. Biashara imekuwa ngumu sana mpaka nawaza kuifunga tu asije akanipeleka jela bure maana amepania kupeleka jela wafanyabiashara 6.

Wakuu miezi kadhaa nyuma maduka yote Handeni mjini tuligoma kufungua mpaka mkuu wa wilaya alipokuja kusuluhisha.

Maana huyu Manager amekuwa akipiga faini za hovyo na mgumu sana kumsikiliza mtu. Mtu unakuta anapitia tatizo la kawaida kama mashine kuzingua ndani ya siku hiyo hiyo au siku moja tu tayari hakuelewi. Imekuwa ni kukomoana na amepania hilo zaidi baada ya ule mgomo na yeye kubakishwa bado.

Sasa jana ofisini kwake aliwatishia wafanyakazi wa chini yake kupunguza kiasi cha mshahara na mlinzi mmoja kupoteza mafao akijinasibu uwezo anao. Kosa ni mfanyakazi mmoja kutoka kwa haraka ni mdada nahisi ni shida za kiafya alienda msalani akachukua muda. Anaelezwa amepata shida kiafya kaenda msalani haelewi anaona anadanganywa. Aisee

Sijawahi kukuta ofisi ina manager wa staili hii aisee

Dar es salaam nimeingia ofisi kadhaa za TRA nimehudumiwa vyema sana lakini hapa Handeni tunakomolewa. Sijui tufanyeje ahamishwe maana baada ya ule mgomo wote tulioongea vimbelembele tuna kimbembe.

Sasa na nyie Kwanini hamtaki kutumia mashine kutolea receipt wakati ni takwa la kisheria?
 
Kama unatumia mashine utajua kuna wakati inazingua , na unakuta labda ni leo tu hujatoa risiti imegoma , namna ambayo kwa wale waelewa wanakuelewa inaenda kurekebishwa unaruhusiwa kutumia ya mkono . Sasa mtu mpaka jana yake ulitoa risiti fresh ni siku hiyo tu uliyokutwa ndio mashine iliharibika hakuelewi faini 1500000 hivi tutatoboa kweli.
 
Duuh pole.
Nafikiria mzunguko wa Pesa ulivyo chini huko Handeni kwenyewe Halafu upigwe adhabu ya shillingi 1,500,000/- sipati picha.
Chanika mzunguko wa Hela ni Mdogo sana.
 
Back
Top Bottom