Manabii kupewa heshima hizi ni utumwa

emmarki

JF-Expert Member
Nov 22, 2012
691
932
Unaweza dhani ni ujambazi unafanyika mahali kumbe nabii anaingia ibada


FB_IMG_17019679127781324.jpg
 
Kama Mfalme Zumaridi eti Mungu chini ya Jua!!

Khaaa!! Manabii wa Mchongo!!

Waafrika bado tumelala Sana!
Sioni tatizo zumaridi kujiita mungu.
Ila tu atuambie sifa zake za uungu ili tuone Kama anazo hizo sifa.

Isije kuwa hekaya za kiyahudi na kiarabu
 
We jua tu huwezi kuwa na darasa lenye wanafunzi wa kupata 100 wote lazima kuna kinalaza wao.

Hivyo hivyo kwa hao walala chini.

Upuuzi tu.
 
Tatizo sio hao manabii, tatizo ni watu wanaowaamini hao manabii wakati kila kitu kiko wazi, ni matapeli kwa 100%.
 
Haya ndiyo majibu ya Mesiya alivyoulizwa na wanafunzi wake kuhusu Manabii wa Uwongo, kwa kweli ni kazi ngumu sana kuwatambua - wengine wanaficha matendo yao.

Mathayo 7 -15
15 “Jihadharini na manabii wa uongo wanaowajia wakiwa wamevaa ngozi ya kondoo, kumbe ndani ni mbwa mwitu wakali. 16 Mtawatambua kwa matunda yao
 
Back
Top Bottom