Man beaten into comma for stabbing lover downtown Kampala

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,752
109,376
Security operatives evacuate an injured man, only identified as Robert Oyot, after he was attacked by a mob for allegedly stabbing his lover at Mini Price shopping centre, downtown Kampala on April 18, 2024. The woman was the first to be evacuated by a military patrol truck to hospital with a stab wound on the neck after Oyot's alleged attack which which is now a subject of police inquiries.

Chanzo: Daily Monitor Uganda

Yaani Mwanaume rijali kabisa utakuwaje na Mpenzi Mmoja tu duniani na Wivu Kwake hadi Kuufanya huu Upumbavu?
 
Mimi ninao watatu......hao wote sijaoa,nachapa tuu!!!
 
Hata ukiwa na wapenzi 100 Kuna yule mmoja ambaye utatokea kumpenda zaidi kuliko 99 waliobaki.
Hivi wewe huwa unadhani wanaume wanaouwaga wanawake zao hawanaga wanawake wengine?
 
Unamuuliza nani sasa hili Swali lako?
 
FB_IMG_1713393043422.jpg
wewee achaa tu mkuu ,mwinginee alichora mpk tattoo Bado akaachwa 😅😅😅😅
 
Yupo zake kwao Bunda vijijini au Mwanza mjini muongo huyo hayupo kampala wala nini.
Tokea nimalizane tu na Mama yako Mzazi Faragha umekuwa na Hasira sana nami kwakuwa nimemuharibia Baba yako.
 
Asanteni sana mods kwa kubadilisha title ya Uzi.
Badala ya kubadilosha Title ya Uzi ndiyo Umasikin wako na Ushamba wako vimepungua au? Na hivi hata Kiingereza chenyewe hujui hivyo sijui hata unachokishangilia hapa ni nini. au niweke hapa zile Screenshots zako za Kiingereza chako Kibovu ulichowahi Kukiandika hapa JamiForums uchoreke na Watu wenye Akili zao?

Pumbavu.
 
Zipublish hizo screenshot tuzione
 
Back
Top Bottom