Mamelodi vs Esperence, Mechi Imesimama Radi Kali Uwanjani

Nimefurahiiii Je melody kufungashiwa vilagoo shenziii kabisa, siwapendii walabu lkn nilikua upande wao Aseee.Lile goal liliniumaa sana nilikua nimevua jeziii ninashangiliaaa msheziii refa
 
Bila Yanga kudhulumiwa huko Pretoria ili kuigawia mamelodi nafasi ya nusu fainali, fainali hii ingekuwa kati ya Al-Ahly na Yanga. Esperance asingefurukuta kabisa mbele ya Yanga
Umewaona?
 
Bila Yanga kudhulumiwa huko Pretoria ili kuigawia mamelodi nafasi ya nusu fainali, fainali hii ingekuwa kati ya Al-Ahly na Yanga. Esperance asingefurukuta kabisa mbele ya Yanga
mnachekeshaa kweli nyie.
 
Back
Top Bottom