othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 5,696
- 9,114
Fainali ilikuwa ya yanga vs ahly hii.
Mimi simba lakini Yanga alihujumiwa ba angefika final,ona waliobebwa walivyocheza hovyo.Wanarukaruka tuFainali ilikuwa ya yanga vs ahly hii.
Simba ni wabovu LAKINI walimtikisha Alhal kuliko TP MazembeMazembe kapigwa kama ngoma
Aggregate ngapi?Simba ni wabovu LAKINI walimtikisha Alhal kuliko TP Mazembe
kazi kuchomekea kutuonyesha tu matako twake hana cha skills ushuzi mtupu. sauzi na mpira wapi na wapi?? sauzi waambie pombe na kukatika mizikiShelulileeee
Kikubwa tunguli tuAngelibeba wapi?
Hivi unaamini Yanga angemfunga Esperence?
Bila Yanga kudhulumiwa huko Pretoria ili kuigawia mamelodi nafasi ya nusu fainali, fainali hii ingekuwa kati ya Al-Ahly na Yanga. Esperance asingefurukuta kabisa mbele ya YangaAl Ahly Vs TP Mazembe
Full Time
3-0 (3-0)
Mamelodi vs Esperence
Full Time
0-1 (0-2)