Mamelodi vs Esperence, Mechi Imesimama Radi Kali Uwanjani

Al Ahly Vs TP Mazembe
Dakika ya 74'
1-0

Mamelodi vs Esperence
0-1 (0-2)
 
Yani kama nilivyohisi tu kua hawa jamaa wanafungwa leo. Rulani Mokwena sio kocha wa makombe. Anapiga mpira mwingi wa kiujanja ujanja kuwadanganya waajiri wake lakini kwenye makombe zero. Ni kama Arsene Wenger tu wa 2005-2016. Timu unapiga mpira mwingi kwenye hatua za awali inaonesha uhai ila likija swala la kubeba ndoo sasa wanapoteana
 
Kipa wa Esperence anakula yellow card.
Kupoteza muda
 
Hii game imesimamishwa kwa sababu ya Radi.

Weather conditions cause a suspension of play.

The referee brings play to a halt and signals for both teams to head to the changeroom with the increased lightning around the stadium.
Majini yalibaki pale
 
Al Ahly Vs TP Mazembe
Dakika ya 81'
1-0

Mamelodi vs Esperence
Dakika ya 70'
0-1 (0-2)
 
Al Ahly Vs TP Mazembe
Dakika ya 85
1-0

Mamelodi vs Esperence
Dakika ya 74’
0-1 (0-2)
 
Back
Top Bottom