Mambo yanayoenda kutokea mechi ya watani Simba na Yanga - Kigoma

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
16,225
25,040
Kuelekea mechi kubwa Africa mashariki, barani Africa na dunia kwa ujumla yafuatayo ni mambo makuu yanayoenda kutokea kwenye mechi ya tarehe 25. Pale kigoma

1. Yanga kumfunga simba, hapa tuwe wakweli tu ni kwamba simba hawezi kuchomoa kwa yanga and this haiwezi kutokea kamwe

2. Simba kufungwa na yanga, pia jambo la pili ni kuwa simba lazima apewe kichapo heavy kutokana na team performance ya yanga jinsi wanavyoheshimu mchezo wa watani......

3. Yanga kumfunga simba goal nyingi, pia hili linaweza kutokea pale ambapo simba wakiteleza kidogo basi mvua ya magoli itawaangukia hawa ndugu zangu

4. Simba kutoa droo and then kutolewa kwenye matuta, japo hili silipi uzito mkubwa kutokea kwan yanga watashinda kwenye hatua za awali kabisa

Ni Mimi mchambuzi wako Andy Townsend
 
Utakuwa kwenye heat wewe tafuta beberu myamalize
 
Mara nyingi tunguli za Yanga zikiwa zinatoa majibu ya ushindi huwa zinamuathiri hadi Haji Manara.
Kabla ya kuchezwa Game iliyopita Haji aliweweseka na Mwandishi Prisca, Game hii pia Haji anaweweseka na Bosi wake Barbara. Hivyo kuna viashiria vya ushindi kwa Yanga japo uwepo wa Mzee Dalali kule Kigoma ni kikwazo cha Yanga
 
Usije ukaanza kuleta visingizio vingine baada ya mechi
Kuelekea mechi kubwa Africa mashariki, barani Africa na dunia kwa ujumla yafuatayo ni mambo makuu yanayoenda kutokea kwenye mechi ya tarehe 25. Pale kigoma

1. Yanga kumfunga simba, hapa tuwe wakweli tu ni kwamba simba hawezi kuchomoa kwa yanga and this haiwezi kutokea kamwe

2. Simba kufungwa na yanga, pia jambo la pili ni kuwa simba lazima apewe kichapo heavy kutokana na team performance ya yanga jinsi wanavyoheshimu mchezo wa watani......

3. Yanga kumfunga simba goal nyingi, pia hili linaweza kutokea pale ambapo simba wakiteleza kidogo basi mvua ya magoli itawaangukia hawa ndugu zangu

4. Simba kutoa droo and then kutolewa kwenye matuta, japo hili silipi uzito mkubwa kutokea kwan yanga watashinda kwenye hatua za awali kabisa

Ni Mimi mchambuzi wako Andy Townsend
 
Mimi ni Yanga hii mechi ni ngumu sana haiwezi mutabirika kwa maono na tunguli, game mentality ya players ndiyo itakayo amua matokeo.

Nacho kiona, simba watakamia sana hii game afe kipa afe beck hawatarudia makosa, hawatakubali humiliation mara ya pili.

Yanga watakuja na matokeo yaliopita, watajisahau watajikuta sio rahisi kivile, wasipokuwa makini 1st halve tunaweza kufungwa, tutabalika kuudisha goal, tukiwa makini tutarudisha tukishindwa kutumia nafasi tunalala kipindi cha kwanza.

Kipindi chapili simba watadefance zaidi tutapata nafasi tutafunga goal.

Huenda tukaingia matuta hapo, ndipo siwezi kutabiri.
 
Mara nyingi tunguli za Yanga zikiwa zinatoa majibu ya ushindi huwa zinamuathiri hadi Haji Manara.
Kabla ya kuchezwa Game iliyopita Haji aliweweseka na Mwandishi Prisca, Game hii pia Haji anaweweseka na Bosi wake Barbara. Hivyo kuna viashiria vya ushindi kwa Yanga
Hawaelew hawa
 
Back
Top Bottom