Mambo 3 Ya Kuzingatia Kabla Ya Kuajiri Dereva

eddie255

Senior Member
Oct 30, 2017
104
53
Hivi unajua kwa 90% madereva wamekua chanzo cha biashara ya usafirishaji kufa. Haya ndio mambo unayotakiwa kuzingatia wakati wa kuajiri dereva

  • Uzoefu wa Dereva; Bila kujali watakua wakiendesha nn, ni muhimu kuangalia uzoefu wao. Ikiwa unatafuta mtu anaeweza kufanya kazi katika jiji la Dar es salaam anahitaji kuwa na uzoefu wa kutosha wa kuendesha gari katika maeneo mbalimbali ya DAR.
  • Angalia Nyaraka Zao; Kabla ya kuajiri dereva hakikisha unakagua nyaraka zote muhimu anazotakiwa kuambatanisha dereva kuanzia Leseni Barua za serikali za mitaa Barua za wazamini Pamoja na passport size zake na za wazamin wake.
  • Wafanyie Majaribio Ya Uendeshaji; Bila kujali leseni ya dereva ni vizuri pia kuwafanyia majaribio ili kujiridhisha na aina ya uendeshaji wa dereva unaetaka kumuajiri
Lakini…

Usipozingatia haya mambo matatu hautaweza kupata dereva mzuri Inamaana utakua umepoteza pesa zako na biashara yako kufa ndani ya mwaka mmoja.

Ni nafasi yako sasa, Chills logistics Co ltd Inakuletea Madereva wa magari aina yote kwahiyo utaweza kupata Madereva wa viwango vya juu Inamaana utaweza kukuza Biashara Yako kwa kuongeza kipato chako pia

Inatoa huduma ya usimamizi wa magari kwahiyo utaweza kujua mwenendo wa gari yako Inamaana chombo chako kitakua salama kwa kipindi chote.

P. S. By the way… kama wewe ni miongoni mwa wale wanaosumbuliwa na madereva wao tumia huduma hizi zinaitwa

CHILLS DRIVERS & FLEET MANAGEMENT

Zitakusaidia uweze kutatua tatizo lako juu ya madereva na usimamizi wa magari

Thamani ya huduma zote ni 105k

.

Lakin...

Leo utazipata zote mbili kwa OFA ya Ths 34999 Tu.

Sio hivyo tu…..

Watu 15 wa kwanza kulipia watapata FREE Consultation

Isitoshe huduma hii ina GUARANTEE ya miezi MITATU.

Tupigie 0744773776

Tutumie ujumbe 0744773776
Chills Logistics
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom