Mkuu halihitaji jazba,wanyasa wameoana na wamalawi,bidhaa nyingi kyela na nyasa zinatumika hadi malawi. Sioni sababu ya kuwafukuza hawa ndugu,ni kuhakikisha viongozi wenye mtazamo kama wa huyu bwege hawaioni ikulu ya malawi.Shukrani ya punda ni mateke, hawa watu tunawahifadhi hapa kwa maelfu, halafu bado wanaleta madai yasiyokua na kichwa wala miguu. Tuwafukuze wote wakajifunze namna ya kuishi na majirani zao. Ungrateful people.
Ukipigana na Malawi kuhusu ziwa Nyasa ujue unapambana na Marekani na Urusi ya Putin. Uko tayari?Harambee iitishwe tuchange pesa na raslimali zingine tuwatwange, Hii ni field work imepatikana, ni fursa. Hembu kesho tu harambee ianze. HATA majogoo bila kupigana haya heshimiani. Zipigwe tu
Sababu 10 zinazoesha kwanini Malawi haina ubavu wa kupambana na Tz kijeshi ni hizi zifuatazo
1. Geographical position; Malawi wapo uwanda wa chini na Tz ipo uwanda wa juu ni rahisi kushambuliwa kijeshi ukiwa chini wkt mwenzako yupo huu.
2 Population; Kwa sensa ya mwk 2012 Wa Tz wapo 45m Wamalawi wap hawavuki Milioni 25, ukubwa wa jeshi ni direct proportional na idadi ya popn.
3. Malawi haina jeshi la wana maji Navy Tz wanajeshi imara la Navy
4. Umbali wa miji mikuu, nirahisi kombora la Masafa marefu kufika Lilongwe ukiwa boda umbali ambao kombora la Masada marefu litaishia Iringa
Mkuu hilo ndo linalonishangaza. Hii ramani tumeichora kama inavyotakiwa iwe. Itabidi "watuformat" akili zetu zote ndo hilo lifanikiwe
Waachiwe tu,mbona tz ina maziwa makubwa tu kuliko icho ki-nyasa
Mbona Uganda hatukuwapiga kwa siku mbili? Usirahisishe mambo kiasi hicho.Hivi vita na malawi nayo kweli itaitwa vita? Mbona kwa JWTZ hii ni kazi ya siku mbili tu. Hata hatuhitaji kupeleka vikosi vya ziada huko...walio huko wanatosha. Sema tu sisi ni taifa ambalo linapenda amani.
Sijaongea, nimeandika buana. Kwa hiyo unataka kuniaminisha kwamba bila hilo ziwa hao watu hawawezi kuishi? Huo ni uvivu wa kufikiri,Fursa zipo kamanda wacha kulemaza akili. Sina uhakika kama rasilimali za hilo ziwa zinawanufaisha hao wakaazi hisika inavyotakiwa.Unaongea tu bila kufiria, je watanzania wa Mbamba Bay na Liuli ambao maisha Yao yote yanategemea ziwa hilo utawapa nini?
Figure of speech. Soma post zangu zingine kwenye huu uzi nimejieleza vizuri tu nadhani. Sina haja ya kujirudiaMbona Uganda hatukuwapiga kwa siku mbili? Usirahisishe mambo kiasi hicho.
Sijaongea, nimeandika buana. Kwa hiyo unataka kuniaminisha kwamba bila hilo ziwa hao watu hawawezi kuishi? Huo ni uvivu wa kufikiri,Fursa zipo kamanda wacha kulemaza akili. Sina uhakika kama rasilimali za hilo ziwa zinawanufaisha hao wakaazi hisika inavyotakiwa.
Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
Kwani lazima tufanane mawazo, any way hata likitokea la kutokea nina uhakika mchango wako uyaishia humu jf..wa kuamua wataamua babu, usijifanye unaipenda sana tz maana ni unafiki tu na kutafuta sifa.Ngoja nikuache Tu. Kwasababu nimeshaelewa upeo Wako uko vipi.
Je Ulikuja Kubadirishwa hapo katikati kabla hizi nchi hazijapata uhuru?
Je ule mkataba wa nchi zinazoshare vyanzo vya maji mpakani zote kuvitumia kwa pamoja sisi tumeusaini?, Je Wamalawi nao wameusaini?.
mimi nafikiri solution ni mahakama ya kimataifa tu kutatutua huu mgogoro, vita si lelemama
Duh sawa ww mwenyewe point za maana Ukiongelea Isreal uwe unafikiria na level ya technology waliyonayao, intercontintal ballistic missiles unaweza kuniambia nchi ngapi za Africa wanazo? Pia unafahamu vigezo vya kuangalia unapotaka kumshambulia adui yako au?Mkuu umetoa point zilizo expire Israel ina watu wangapi ilivopiga waarabu kwa siku6?
Kombora zipi unazisemea?kun inter continentali ballistic missiles inafika hadi India ukipiga toka tz
3navy ya Tz ina vifaa gani na uimara wake nini?
Sababu 6zilizobaki mbona hutaji
Duh sawa ww mwenyewe point za maana Ukiongelea Isreal uwe unafikiria na level ya technology waliyonayao, intercontintal ballistic missiles unaweza kuniambia nchi ngapi za Africa wanazo? Pia unafahamu vigezo vya kuangalia unapotaka kumshambulia adui yako au?
Kwa hiyo unapendekeza nini kifanyike???????????????Nimesoma koment zao wengi wanaona Malawi iko powerful sana kijeshi kwamba wataipiga tz kirahisi kama vita itatokea. Hawa jamaa wametusumbua sana toka enzi za kamuzu banda nadhani ifike wakati sasa tufanye maamuzi magumu
Tatizo kubwa ukianzisha vita na Malawi unaweza kujikuta upo vitani na mataifa makubwa kama Uingereza ambao wana interest na mafuta na gesi iliyopo ziwani lazima kufikiria sana kabla ya kuingia vitaniNimesoma koment zao wengi wanaona Malawi iko powerful sana kijeshi kwamba wataipiga tz kirahisi kama vita itatokea. Hawa jamaa wametusumbua sana toka enzi za kamuzu banda nadhani ifike wakati sasa tufanye maamuzi magumu