TRA Tanzania
Member
- Jul 16, 2022
- 82
- 230
Biashara kibao hawalipi kodi.Mtaani kuna maduka ya mangi kibao hawalipi kodi wala leseni.Kuna vipub kibao hawalipi kodi wala keseni.Wanakamuliwa wafanyakazi tu kwenye payee.Hongereni kwa makusanyo.
Panueni wigo wa kukusanya kodi.
Mnakamua waajiriwa kwa PAYE kwenye vimshahara vya laki kadhaa na mmeacha makundi kibao yanapiga pesa bila kulipa kodi wala nini.
- Tax the churches na misikiti
- Tax madalali.
- Tax bodaboda, bajajis n.k
Kweli kabisa.. halafu wafanyakazi wanaonekana wapumbavu tu wasio na future Ilhali kodi zetu zinajenga nchi.Biashara kibao hawalipi kodi.Mtaani kuna maduka ya mangi kibao hawalipi kodi wala leseni.Kuna vipub kibao hawalipi kodi wala keseni.Wanakamuliwa wafanyakazi tu kwenye payee.
Bado wala keki ya taifa nusu wataitia mfukoni walimu wanateseka na baadhi ya wafanyakazi wa ummaMakusanyo kidogo sanaaaa
msijipongeze kwa lolote.
Machinga wote hasa wale wa kkoo wenye meza wapewe mashine za Kodi...Hongereni kwa makusanyo.
Panueni wigo wa kukusanya kodi.
Mnakamua waajiriwa kwa PAYE kwenye vimshahara vya laki kadhaa na mmeacha makundi kibao yanapiga pesa bila kulipa kodi wala nini.
- Tax the churches na misikiti
- Tax madalali.
- Tax bodaboda, bajajis n.k
Bila kuwasahau wasanii na MC na Madj.,,,.Lazima wakusanye wigo wa kutoza kodi! Wasikariri kutoza kodi kwa wafanya biashara wakubwa!Hongereni kwa makusanyo.
Panueni wigo wa kukusanya kodi.
Mnakamua waajiriwa kwa PAYE kwenye vimshahara vya laki kadhaa na mmeacha makundi kibao yanapiga pesa bila kulipa kodi wala nini.
- Tax the churches na misikiti
- Tax madalali.
- Tax bodaboda, bajajis n.k
Kati ya kosa linalofanywa na nchi hii ni kuto watoza wabunge kodi…bado hata utetezi hau hold Water kabisa!Machinga wote hasa wale wa kkoo wenye meza wapewe mashine za Kodi...
Wabunge na ma dc na mawaziri...wote wakatwe PAYE...
Google, Instagram na mitandao yote wakatwe Kodi Kwa biashara za tz
Sure.. Mwalimu analipwa laki 5 kwa mwezi anakatwa kodi lakini MC anakusanya 2M+ haguswi.. TRA hawako serious.Bila kuwasahau wasanii na MC na Madj.,,,.Lazima wakusanye wigo wa kutoza kodi! Wasikariri kutoza kodi kwa wafanya biashara wakubwa!
TRA wana uwezo wa kukusanya zaidi ya trillion 30Machinga wote hasa wale wa kkoo wenye meza wapewe mashine za Kodi...
Wabunge na ma dc na mawaziri...wote wakatwe PAYE...
Google, Instagram na mitandao yote wakatwe Kodi Kwa biashara za tz
Ongezea na machawa! Pia wigo wa kukwepa kodi ni mkubwa sana hasa kwenye mabaa.Hongereni kwa makusanyo.
Panueni wigo wa kukusanya kodi.
Mnakamua waajiriwa kwa PAYE kwenye vimshahara vya laki kadhaa na mmeacha makundi kibao yanapiga pesa bila kulipa kodi wala nini.
- Tax the churches na misikiti
- Tax madalali.
- Tax bodaboda, bajajis n.k
sidhani kama kweli mc hastahili mlipa kodi sababu nachoelewa mimi mtu yeyote akifanya biashara na kufikia kiasi cha 4,000,001 kwa mwaka kama mapato anastahili lipa kodi ,mfanyakazi kwa mwezi kiasi cha 270,000 anastahili lipa kodi. Labda tuwashauri tra namna nzuri ya kuwabana hawa MC ila wanastahili kabisa lipa. Ushauri wangu kwa TRA kila mc awe na mashine ya EFD na kila mtu akipata huduma ya mc apewe risiti ya mashine ili kuweza wabaini walau kipato chao maana mc kweli wapo wengi.Sure.. Mwalimu analipwa laki 5 kwa mwezi anakatwa kodi lakini MC anakusanya 2M+ haguswi.. TRA hawako serious.