Makonda na mind games: Ukubali usikubali, Rais Samia anasahihisha madudu ya Hayati Magufuli!

Hata kama katumwa , kwani kuna mtu anaweza kuhodhi ukweli kuwa Magufuli alikuwa dikteta ambaye kwa vitendo vyake kuna watu walipoteza maisha?
Ukweli huo hsutofutika.
Hata china isingefika ilipo leo bila sheria kali za mafisadi
Wakigundua wewe ni fisadi unatangulizwa mbiguni ukapumzike
Ndio maana China imefika ilipo tatizo Africa tunabembelezana sana
Na hata Magufuli alikuwa mpole mbona
Mfano ningekuwa mimi ndio Rais
Fisadi, wanaotukwamisha kufikia mafanikio ningewauwa hadharani kwa kuwanyonga hadi hao vyeti feki waliopata ajira za mchongo piga risasi kudadeki mbona nchi itanyooka kama Rula.
 
Tetesi ndo nini? Kama ushahidi unao nenda Mahakamani acha kubwabwaja! Said kubenea alisema kama unataka kujua Ben Saanane alipo muulize Mbowe! Hata Dr Slaa alisema mnatabia ya kutekana ili kusingizia serkali!
Good!
Niliandika kuwa ni tetesi kwa makusudi, sasa wewe tetesi ulizoandika kumhusisha mama na Awamu ua Sita lete ushahidi vile vile, otherwise ni upotolo na mazungumzo ya kijiweni.
 
Wewe ndezi acha makelele tulia Mama nae atamaliza mda wake! Usiwe na hasira sana maisha hayako hivo!
 
Jifunzeni kujadili mawazo,hoja,watu au vitu vya maana msilete mijadala isiyo na tija humu basi
 
Hata china isingefika ilipo leo bila sheria kali za mafisadi
Wakigundua wewe ni fisadi unatangulizwa mbiguni ukapumzike
Ndio maana China imefika ilipo tatizo Africa tunabembelezana sana
Na hata Magufuli alikuwa mpole mbona
Mfano ningekuwa mimi ndio Rais
Fisadi, wanaotukwamisha kufikia mafanikio ningewauwa hadharani kwa kuwanyonga hadi hao vyeti feki waliopata ajira za mchongo piga risasi kudadeki mbona nchi itanyooka kama Rula.
Tatizo lako unafikiri umasikini wako unatokana na mtu mwingine , badala ya wewe mwenyewe kujisghulisha upate mradi wako.
 
Wale wafanya biashara wa Singida waliopotea kawapoteza Samia sio? Wale wanaodaiwa kupotea saizi nani anawapoteza? Kwa vile walipotea kipindi cha Magufuli mnasema kawapoteza Magufuli ila waliopotea kipindi hiki cha Samia mnasema Samia hahusiki!
covid 19 na Bunge
 
Makonda is on a mission kumsafisha Magufuli kwa mazuri ya mama Samia.

Makonda ni mwanasiasa anayeweka maslahi yake mbele na kuutupa ukweli ili kuridhisha matakwa yake kisiasa.

Magufuli alikuwa na mafanikio yake, na madudu yake kibao.
Magufuli alifanikiwa na SGR, Bwawa la Mwalimu Nyerere na umeme, vituo vya afya nchi nzima, Daraja la Busisi na mengine lakini Mafuguli alikuwa dikteta.

Mbowe aliwekwa ndani sijui mara ngapi, watu walibambikwa kesi, wafanya biashara walinyang'anywa amana zao na kufilisiwa.

Watu waliwekwa ndani na kubambikwa kesi.

Wengine walipotea na kutoonekana, kama Azory Gwanda, Ben Saa Nane na Lwajabe.

Lissu alipigwa Risasi.

Sasa anapotokea Makonda na kumfananisha Maguguli na Mama Samia kuwa wako sawa, basi nasema Makonda huo ni zaidi ya ujinga, ni upumbavu.

Mama Samia kwa sasa ameipaisha nchi kiuchumi, na anasahihisha madudu ya Magufuli.
Mama ndie aliyemtangaza Mbowe kama gaidi. Mbona mpaka sasa watu wanapotea!
 
Tatizo lako unafikiri umasikini wako unatokana na mtu mwingine , badala ya wewe mwenyewe kujisghulisha upate mradi wako.
Nani kakwambia mimi masikini?? Au kuna mahala nimeandika mimi masikini
Taira wewe
Ulivyokuwa mjinga umeshindwa hata kuelewa nilichomaanisha
 
Na anayochafua yeye tutam-challenge lini ? Sababu muda unakwenda na hii ya kufatuta wa kulaumu wakati madudu yanaendelea kuzalishwa daily ni matumizi mabovu ya rasilimali muda....;

By the way kipindi ya hayo machafu yanatokea alikuwa wapi (kwahio kama tunampa credit by association ya mazuri yote basi mabaya ni ya kwake pia)
 
Makonda is on a mission kumsafisha Magufuli kwa mazuri ya mama Samia.

Makonda ni mwanasiasa anayeweka maslahi yake mbele na kuutupa ukweli ili kuridhisha matakwa yake kisiasa.

Magufuli alikuwa na mafanikio yake, na madudu yake kibao.
Magufuli alifanikiwa na SGR, Bwawa la Mwalimu Nyerere na umeme, vituo vya afya nchi nzima, Daraja la Busisi na mengine lakini Mafuguli alikuwa dikteta.

Mbowe aliwekwa ndani sijui mara ngapi, watu walibambikwa kesi, wafanya biashara walinyang'anywa amana zao na kufilisiwa.

Watu waliwekwa ndani na kubambikwa kesi.

Wengine walipotea na kutoonekana, kama Azory Gwanda, Ben Saa Nane na Lwajabe.

Lissu alipigwa Risasi.

Sasa anapotokea Makonda na kumfananisha Maguguli na Mama Samia kuwa wako sawa, basi nasema Makonda huo ni zaidi ya ujinga, ni upumbavu.

Mama Samia kwa sasa ameipaisha nchi kiuchumi, na anasahihisha madudu ya Magufuli.
Hakuna kitu umeandika
 
Back
Top Bottom