Jabali la Siasa
JF-Expert Member
- Jul 10, 2020
- 2,567
- 2,188
Katibu wa NEC Itikadi ,Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa,
Mhe Amos Makalla, amesema chama Cha Mapinduzi CCM kitakuwa mstari wa mbele katika kutekeleza kwa vitendo haki, usawa na wajibu.
Nia ya CCM Tanzania kuwa na uchaguzi ulio huru, wa haki na wenye kuaminika.
Ndg Makalla alimwakilisha Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi.
Amevikumbusha vyombo vya habari kuwa na vyama vya Siasa kuwa , pamoja na kuandika habari zao kwa uhuru, vinapaswa kutambua umuhimu wa kulinda amani na usalama wa nchi.

Mhe Makalla amesisitiiza kuwa kama Taifa hatuna Mbdala wa Mama Tanzania.