Hii nchi ya kifaka sanani utaratibu ule ule wa kiafrika mteja kwao ni mbwa wala hawana thamani naye, hakuna kitu kinachokwenda nchi hiyo zaidi ya uchawa tu na kujipendekeza na kutajataja jina la hangaya kila sehemu hata kama halihusiki. SHAME
Fvck
Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app