Makabila ambayo wakioana Ndoa zao hudumu

Analog

Senior Member
Apr 4, 2024
180
395
1. Mchaga akioa au kuolewa na Mpare, Muha au Mmasai...

2. Msukuma akioa Mbulu/Mrangi/Mnyaturu/Mmeru/Mchaga au Muiraki...

3. Mhehe akioa au kuolewa na Mbena, Mnyamwezi, Mngoni...

4. Mdigo akioa au kuolewa na Mgogo, Mchaga au Mngoni...

5. Mkwere akioa au kuolewa na Mmakonde, Myao, Mzaramo, Mnakua au Mluguru...

6. Mkinga akioa au kuolewa na Mzigua, Msambaa au Mpogoro...

7. Mnyamwezi akioa au kuolewe na Mhaya, Mhehe ama Muarabu...

8. Mkurya akioa au kuolewe na Mjita, Mjaluo au Mmang'ati...

9. Mgogo akioa au kuolewa na Mnyakyusa ama Msambaa...

10. Mbondei akioa au kuolewa na Muunguja, Mpemba, Muarabu wa Oman au Ustaadh tu...

Chanzo: Utafiti wa Wahenga
 
Ndoa hazina data za uongo kama zako ni bahati tu kuelewana na migogoro midogo katika ndoa unaweza ukaambiwa kabila fulani usioe lakini ukaoa na ukaishi safi na ukaambiwa oa kabila hili ukiishia kujuta.
 
Vipi na sisi wazaliwa wa mkuranga hapa ......utafiti unaoneshaje ndugu mtafiti.....
 
1. Mchaga akioa au kuolewa na Mpare, Muha au Mmasai...

2. Msukuma akioa Mbulu/Mrangi/Mnyaturu/Mmeru/Mchaga au Muiraki...

3. Mhehe akioa au kuolewa na Mbena, Mnyamwezi, Mngoni...

4. Mdigo akioa au kuolewa na Mgogo, Mchaga au Mngoni...

5. Mkwere akioa au kuolewa na Mmakonde, Myao, Mzaramo, Mnakua au Mluguru...

6. Mkinga akioa au kuolewa na Mzigua, Msambaa au Mpogoro...

7. Mnyamwezi akioa au kuolewe na Mhaya, Mhehe ama Muarabu...

8. Mkurya akioa au kuolewe na Mjita, Mjaluo au Mmang'ati...

9. Mgogo akioa au kuolewa na Mnyakyusa ama Msambaa...

10. Mbondei akioa au kuolewa na Muunguja, Mpemba, Muarabu wa Oman au Ustaadh tu...

Chanzo: Utafiti wa Wahenga
Kufanya utafiti na kuchapisha data ni kosa la jinai kulingana nasheria ya Tanzania Bureu of Statisics.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom