Huyu jamaa Maina owino, kijiji chao ni Sota, Shirati- Rorya. Kuna mpuuzi mmoja alimdanganya kuwa kwa kuwa yuko uk akirudi hapa anaweza kupata ubunge in the name of "I was abroad". Bahati mbaya hayafahamu matatizo ya Tanzania na pia kwao alikozaliwa. Nadhani hata katiba kandamizi inayotumiwa na ccm hajawahi kuisoma vinginevyo anajipendekeza na kutoa matamko bila facts kama wale wanojiita wasomi njaa wa UDOM. Huyu jamaa ni Kilaza sana namfahamu, aliiba paper la std 7 bado akafeli ndoyo maana uelewa wake ni mdogo kiasi hicho. Nilifikiri mtu kama yeye anaweza kusimamia hoja za msingi za mabadiliko, kumbe ni mtu mgonjwa akilini sawa na wanapropaganda wa ccm kama chiligati, makamba (mwenye nundu), hiza nk. Shame on you studpid Maina!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!