Mafuta au Manukato ya Bint Sudan

Oct 17, 2017
30
32
Wadau Habari zenu,

Naomba kufahamu zaidi kuhusu haya manukato (mafuta) yanayoitwa Bint Sudan ambayo watu tofauti huyatumia kama manukato tu ya kawaida na wengine tiba ya mambo tofauti kama kunuka KIKWAPA, lakini pia wengine hutumia kitaalamu zaidi kwa ajili ya kuondoa Nuksi na Mikosi.

Sasa mimi ninachohitaji kujua, ni kweli kwamba ukiyatumia kwa kujipaka yanaweza kuleta majini kwako au kwa mtu wa karibu yako?

Maana wengine wanayasifia na mengine wanayaponda na kudai yana uhusiano wa karibu sana na majini (mapepo).

Attachments​

Hayawezi kukulettea majini kama huna majini.Yenyewe huwavuta na kuwasogeza majini ulionao.
 
Tusaidie kwa kufanya research kwa kujipaka kisha uje utupe mrejesho majini mangapi umeyazoa
mimi nimepaka ila baadhi ya wadau ndio wameniambia hivyo,kwahiyo kuja kwangu hapa nilitaka kupata ufafanuzi kwa watu wengi zaidi maana najua kuna wengi wanayajua kuliko mimi
 
Back
Top Bottom